Njoo uwekeze kwenye biashara ya mafuta (Fuel) kwa laki 1 tu kama kima cha chini

Mkuu sisi tuna Kituo cha mafuta yani retail service station, mafuta yetu tunanunua depot yoyote yenye bei nzuri ya soko kwa siku husika. Ni kweli faida mara nyingi haizi 200 ila naomba nikufafanulie kwa faida ya wengine pia.
Kwa mfano sisi kwa mwezi tunauza lita laki 3 kwa faida ya 150 Tsh kwa kila lita ni 45 million baada ya Matumizi utapata net kama 39 to 40 million.
Sasa let's assume we umeweka pesa yako million 5 that means utapata faida laki 5 out of 39 million, na wengine wote utaratibu utakua ni huo huo. Kumbuka tuna limited number of people that means pia tuna Kiwango cha pesa za uwekezaji ambazo ni target means ukifikia hapo tutafunga dirisha la uwekezaji! I hope umenipata vyema mkuu, karibu ofisini kwetu ujuonee physically!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mkuu biashara imeanza lini ? na kama batch ya kwanza inafungwa 30 April je mwekezaji atapata 10% ya kwanza tarehe ngap? je baada ya miez mitatu mwekezaji akiamua kuingia mkataba kwa mara nyingine interest itakuwa ile ile 10% au itapungua?

maswali mengi ila anza na hayo kwanza.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa katikz tanker ya Milioni 200 faida yakr ni kiasi gani mkuu hapo ndio unatufumba.
Halafu sijaonatanzania mkweli anaebembeleza mtaji kwa walala hoi , wewe ni Wa kwanza . mabenki yana hela haina wateja Wa kukopesha kwa sababu biashara haipo sasa hivi wewe andika mhanganuo watakukopsha acha kudanganya bishara kwa walala hoi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu biashara ilianza rasmi mwaka Jana (2018) mwezi February.
Atakaewekeza atalipwa kila inapofika tarehe Ile aliyowekeza kwa kila mwezi.
Baada ya mkataba wa miezi 3 kumalizika Mwekezaji anaruhusiwa kuhuisha mkataba wake na utaratibu ni ule ule na 10% iko pale pale.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu kumbuka hii fursa nimeamua kuwashirikisha watz wenzangu ili angalau mtu pesa yake ikazalishe sio aitunze tu bank au nyumbani.
Kuhusu faida ya tanker moja ni kiasi gani hapo Inategemea, ila unapaswa kukumbuka kua biashara yetu inafanyika mwezi mzima na mtu malipo yake atayapata mwisho wa mwezi au tarehe kama ya siku aliyowekeza kwa kila mwezi. Maana yake hatutegemei tanker moja kumlipa mtu bali faida inayotokana na mauzo ya mwezi mzima, so inaweza kuwa tanker mbili, tatu au hata tano kabisa ila tu mwezi uishe. So ile pesa inazungushwa mwezi mzima. Karibu sana mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huu utakuwa""MDUNDO SI kipigo Tena hiki mkuu
 
Morogoro ofisi ziko wapi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…