Njoo uwekeze kwenye biashara ya mafuta (Fuel) kwa laki 1 tu kama kima cha chini

Hii ndo pata potea,shoka linaungua mpini unabaki na soksi inavuka mguu unabadi ndani ya kiatu[emoji1544][emoji1538][emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naomba wahusika wafute huu Uzi, mhusika ameshindwa kujibu maswali Muhimu.
 
Mwanzo niliposoma uzi nilipatwa na presha ya matumaini ya ajabu, lakini kadri ninaposoma comments presha inashuka pole pole.
 
Location ya business kwa petroleum product kwa Chanika unaweza uzaa ltrs 20,000. Per month uka generate loss ya more than ten million per months
 
Mkuu angalia hesabu zako vzr, Lita laki 3 kwa wastani wa 2,000 kwa Lita ni uwekezaji wa milioni 600 bila kuhusisha fixed asset yoyote! Sasa kama utapata faida ya milioni 40 net means umepata faida ya chini ya 10%. 10%ilitakiwa iwe milioni 60! Sasa wewe ukigawa 10% kwa wawekezaji kila mwezi utakuwa unapata hasara ya 20m ambayo lazima iwe inatoka kwenye mtaji au sehemu nyingine! Hapo napata doubt. Simple mathematics bila hata kushika kalamu na kuandika. Ebu nifafanulie hapa
 
naona dalili ya kuanza kurejesha madeni ya benki kwa ujanja baada ya kushindwa kurejesha kwa mapato yenu; badala ya kufilisiwa na benki mmeamua kuingiza pesa kwa ujanja kwa njia hii. semeni ukweli mmekopa na kushindwa kurejesha mnahitaji pesa
 
kweliiiiii!!! mbona naogopa mie yakheeee.SIMPLE ivyoooooπŸ˜‰
 
Ndio yale yale ya Mr. KUKU eti hasara itakuwa covered na bima ya AAR ya biashara πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ matokeo ni kipigo cha mbwa kachoka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…