Njooni hapa mliowahi kulipwa fidia baada ya ajali

Mkuu umenikumbusha jambo la muhimu mno, last week tumezika bint yetu ambaye alipata ajali maeneo ya nanenane dom, lakini hatukufikria chochote kutokana na mstuko wa ule msiba, ngoja tuanze kufuatilia tuone.
Mnafatilia nn mtu kashakufa? Mkipata hyo hela mnaifanyia nn? Kaacha watoto? Au mnataka kujengea kaburi lake?
Kama hajaacha watoto au waliokua wanamtegemea achana na kesi mkuu.!
 
Mnafatilia nn mtu kashakufa? Mkipata hyo hela mnaifanyia nn? Kaacha watoto? Au mnataka kujengea kaburi lake?
Kama hajaacha watoto au waliokua wanamtegemea achana na kesi mkuu.!
Aisee shirima? in (chaggas voice) huyu kaacha watoto, wazazi, wategemezi wengine pamoja na madeni, vipi tuacheeee?, hata hivyo hata kama hayo yote hayapo tambua hili jambo lipo kisheria, kama sheria inatupa hiyo nafasi ni lazima tuitumie, huyu ni ndugu yetu wala hakuna ubaya kula pesa itokanayo na kifo chake.
Shirima kufaaa..........kufaaana meku.
 
Sawa kaka nimekuelewa Sana ndugu Yangu ..!
 
Ajali ya bus mbili ziligongana mim nilikuwa abilia , nilikuwa naenda dodoma kwenye mambo binafsi .
 
Kuna urasimu wa kutisha unapofuatilia fidia. Hata ukiwa na vielelezo vyote. Sijui wanafanya maksudi kukukatisha tamaa utemane nayo. Ni psychological torture ya hatarii
That's what I also experienced with wcf
 
Pole Sana mkuu

ajari, ajar, tuliowahiwa

Hivi unafahamu lugha kwa ufasaha?
Pumbafuvu sana wewe kama huna lolote la kunena kwanini usiishie kusoma walicho kiandika wenzio kuliko kujinyea
 
Hifadhi risiti za matibabu na gharama nyingine zote bila kusahau tiketi uliyokata siku ajali ilipotokea. Hakikisha vyote vina majina yako halisi.

Nenda kaidai kampuni ya Bima ya bus ulilopata nalo ajali. Watakulipa.
Kama basi halina bina je?
 
Ahsante kwa elimu, lakini inakuwaje mfano nikigongwa na gari au ndugu yangu kagongwa na gari na akafa taratibu zimakuwaje?
Ukitaka kujua nchii ilivio mbaya pata kesi au ugua ukose hele
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…