Njooni hapa tukubali matokeo na kufarijiana

Njooni hapa tukubali matokeo na kufarijiana

Kiokotee

JF-Expert Member
Joined
Mar 21, 2022
Posts
1,675
Reaction score
2,211
Kuna makundi ya Watu tunasakamwa sana huku kitaa mpaka tunakosa raha hapa Duniani yaani hatuna raha kabisa cha Ajabu kinachotugharimu ni Jinsi ambavyo tumeumbwa au Mungu mwenyewe ndio ameamua iwe hivyo yaani hatuna jinsi ya kusolve Masimango haya labda Mungu mwenyewe apende.

Utasikia mara oooooh! Sijui;
Ana Kibamia. Ndoa hii mwaka wangapi Haijajibu n.k....

Kwenye huu tuache Utumwa wa Fikra njooni hapa tufarijiane na tukubaliane na hali

Ahsanteni.
 
Hahahah Yani ww unajishughulisha na maneno ya watu?. Utanenepa kweli?.. ukitaka kuishi vyema basi ishi kulingana na malengo yako, Ila ukitaka kuishi kulingana na malengo ya watu, utaumia vibaya....

Kula, vaa, Cheka, pendeza huna habari na hakuna kitu watafanya. Uku ukiendelea kutafuta tiba taratibu.
 
Kuna makundi ya Watu tunasakamwa sana huku kitaa mpaka tunakosa raha hapa Duniani yaani hatuna raha kabisa cha Ajabu kinachotugharimu ni Jinsi ambavyo tumeumbwa au Mungu mwenyewe ndio ameamua iwe hivyo yaani hatuna jinsi ya kusolve Masimango haya labda Mungu mwenyewe apende...Utasikia mara oooooh! Sijui;
Ana Kibamia,Ndoa hii mwaka wangapi Haijajibu n.k......
Kwenye huu tuache Utumwa wa Fikra njooni hapa tufarijiane na tukubaliane na hali,Ahsanteni.
Kufarijiana ni jambo la muhimu japo maisha yamejaa stress za kids aina
 
Hahahah Yani ww unajishughulisha na maneno ya watu?. Utanenepa kweli?.. ukitaka kuishi vyema basi ishi kulingana na malengo yako, Ila ukitaka kuishi kulingana na malengo ya watu, utaumia vibaya....

Kula, vaa, Cheka, pendeza huna habari na hakuna kitu watafanya. Uku ukiendelea kutafuta tiba taratibu.
Nyie hamjui wenzenu wenye vibamia tunavyoteseka huku! Mbaya zaidi unaempiga shoo mkishaachana tu. Imekula kwako.
 
Ndio mana kuna sex toys, ili uweze mridhisha mkeo kwanza. Lkn najiuliza inawezekana tatizo sio lako, hujapata SIZE yako. Wanawake pia kuna size tofauti
 
Back
Top Bottom