Kufarijiana ni jambo la muhimu japo maisha yamejaa stress za kids ainaKuna makundi ya Watu tunasakamwa sana huku kitaa mpaka tunakosa raha hapa Duniani yaani hatuna raha kabisa cha Ajabu kinachotugharimu ni Jinsi ambavyo tumeumbwa au Mungu mwenyewe ndio ameamua iwe hivyo yaani hatuna jinsi ya kusolve Masimango haya labda Mungu mwenyewe apende...Utasikia mara oooooh! Sijui;
Ana Kibamia,Ndoa hii mwaka wangapi Haijajibu n.k......
Kwenye huu tuache Utumwa wa Fikra njooni hapa tufarijiane na tukubaliane na hali,Ahsanteni.
Nyie hamjui wenzenu wenye vibamia tunavyoteseka huku! Mbaya zaidi unaempiga shoo mkishaachana tu. Imekula kwako.Hahahah Yani ww unajishughulisha na maneno ya watu?. Utanenepa kweli?.. ukitaka kuishi vyema basi ishi kulingana na malengo yako, Ila ukitaka kuishi kulingana na malengo ya watu, utaumia vibaya....
Kula, vaa, Cheka, pendeza huna habari na hakuna kitu watafanya. Uku ukiendelea kutafuta tiba taratibu.
hahahaNyie hamjui wenzenu wenye vibamia tunavyoteseka huku! Mbaya zaidi unaempiga shoo mkishaachana tu,Imekula kwako.
Hawajui kitu hao. Acha nikae kimya.Nyie hamjui wenzenu wenye vibamia tunavyoteseka huku! Mbaya zaidi unaempiga shoo mkishaachana tu. Imekula kwako.