Njooni huku Boko Mnemela viwanja vya bure

walioenda tupeni mrejesho na mimi nataka nikanunue japo heka moja
 
Mkuu usalama wa viwanja na mashamba ukoje huko?
Tafuta mwenyeji mkuu, mimi nilifunga safari kwenda kutembea na kutafuta fursa, nika mwambia bodaboda anipeleke kwa mwenyeji...nje ya mji kijiji kinaitwa zumba.
 
Nilienda kukagua, nika mwambia mwenyeji pale ikitokea mtu anauza shamba kwa shida anishtue...tulibadilishana namba.
asante mkuu naomba ikitokea na mimi nijulishe, plz naomba namba zako PM
 
Sawa. Vipi bado mashamba.yapo?
 
Yaani niko hapa vegetables nakuja na vijana kusafisha eneo langu...sasa hao serikalo waje waseme ni eneo lao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…