sasa mbona mmempa uenyekiti?? manake baada ya kutoka butimba mkampa shavu na sasa anatembelea STJ maisha haya banaHuyo hana ujanja wa kugonganga na mimi.... Ye kama anajua kucheza mipira mikubwa mie nshajizoelea volleyball, unasmash na kudive..... Mchezo ukiisha mnapeana mikono na timu pinzani.
:confused2::confused2::confused2:sasa mbona mmempa uenyekiti?? manake baada ya kutoka butimba mkampa shavu na sasa anatembelea STJ maisha haya bana
mwaya wewe nimekuletea pads za wazazi pamoja na baby kit.
Unaulizia vumbi stoo? Ntatia timu saa nane hivi ila saa 12 hivi nayeya kama kawa.mwaka huu na uishe manake full mauza uza. btw j1 utakuja mwananyamala A??