Njooni mjiandikishe hapa kama ni Bachela, Mjane ama Single Mama

Kwa tunaobadilika status kutokana na hitaji lilipo mbele ya macho yetu tunawekwa kundi gani??
 
[emoji23][emoji23][emoji23]
Unakutana na mdada anakuambia ndoto zake ni kua na married man..hapo hapo natoa pete yangu kwa wallet navaa...

Unakutana na mwingine anakuambia anataka singo faza hapo hapo unabadilika[emoji1787][emoji1787][emoji1787] n.k
 
Haha mkuu we noma sana, huna status maalum[emoji23]
 
Back
Top Bottom