Ras simba mwenyew anatoka kapahahhahhah, du! aisee
Hivi Ras Simba ana matawi huku Mwanza au yuko "Daa" tu?
[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji14]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ras simba mwenyew anatoka kapahahhahhah, du! aisee
Hivi Ras Simba ana matawi huku Mwanza au yuko "Daa" tu?
Huyo jamaa nimemfollow kule twitter lakini maneno yake magumu yananishinda hata kufatilia anacho kitweet.
Ndio maana ile mahakama ya upeo Kenya haikumuelewa akapigwa chini na Orengo. Tunatumia lugha kuwasiliana sasa huyu mwenzetu sijui anawasiliana na nani?
Huyu jamaa kwa hivo akiwa lecture r tz atakamata darasa zima
Mpaka lumuba anamkubali kimambi
Huyu jamaa anachanganya na kigiriki sometimes
Wewe umeona sanctions tu... Soma huo mstari wa kwanza na wa pili utaelewaUmejuaje au ndo umemuelewa???... ujaona hapo chin kaandika sanctions
Wewe umeona sanctions tu... Soma huo mstari wa kwanza na wa pili utaelewa
Hahahhaa mimi nimeelewa mkuu... Kimambi oyeeee hahahaHahahahaha iyo huwezi elewa anaijua mwenyewe asee[emoji23][emoji23][emoji23]
Afadhali wewe bilabila, mimi nimefungwa tatu bila!nimetoka bila bila hapo
Hizo sifa za kijinga sasa,Sure Raila hyprogynt and let Uhuru grymtor pygromy agree clampogrous troundios the election.