Njooni mnaoelewa Kiingereza cha P.L.O Lumumba

Njooni mnaoelewa Kiingereza cha P.L.O Lumumba

dah huyu mzee jau yan hapo kuna watt wa secondary nao wana msikiliza akat mm na ka bachelor kangu sielew
hahahahaha haaaaaaaaaaaaaaa akiongea na sizonje na phs yake ataambulia pakavu
 
Hivi kutumia lugha kwa kuteua misamiati na sintaksia ngumu kabisa kueleweka na wengi huo ni umahiri? PLO anapaswa kutafakari upya....
 
Ebwanaeee ebu wanao elewa tuelewesheni asee
e7dfa855a8483b22e1bf80234aea4c88.jpg
e7dfa855a8483b22e1bf80234aea4c88.jpg
e7dfa855a8483b22e1bf80234aea4c88.jpg
Mmmh utafikiri majina ya madawa! Duuh.
 
Sure vigimbious Raila should be tantengentous towards the benuvoment election
 
Haya ndiyo Matatizo ya Maprof wa Waafrika Mashariki yaani huwa ni Pasua vichwa ngumu kuwaelewa.
 
I really appreciate this person coz kenya now are in jimbiquatic situation due to some unconsopius people who only think about their ego and left patriotism
 
Kinachonifanya nampenda Lumumba ni hizo sintax ambazo sielewi kama comedian vile
 
Huyu jamaa ana sifa kinyama
Utadhani kameza dictionary[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom