Njooni mtazame kazi hii ya kitanzania

Njooni mtazame kazi hii ya kitanzania

Link ipo chini, katazame huko youtube, like na u subscribe asante sana.

Filamu Pictures, wanawaletea kazi ya filamu ya kitanzania iitwayo PETE

Kutana na Bwana Lidawi, mvuvi mwenye hali ngumu na mke mgonjwa na jinsi anavyoingia matatizoni kutokana na pete ya maajabu iliyofika katika ulimwengu wa wanadamu kwa ajili ya kazi maalum

Kutana na Bwana Songolo mtu tajiri, mkorofi na mkali sana, ambaye nae anajikuta yuko katikati ya mikasa hiyo ipatayo bwana Lidawi

Karibu sana
 
Karibuni kutazama kazi yetu huko youtube, jioni hii maridhawa kabisa inapendeza ukitumia kuingia youtube kutazama Episode nne za kazi yetu ya PETE kutoka kwetu FILAMU PICTURES
 
Link ipo chini, katazame huko youtube, like na u subscribe asante sana.

Filamu Pictures, wanawaletea kazi ya filamu ya kitanzania iitwayo PETE

Kutana na Bwana Lidawi, mvuvi mwenye hali ngumu na mke mgonjwa na jinsi anavyoingia matatizoni kutokana na pete ya maajabu iliyofika katika ulimwengu wa wanadamu kwa ajili ya kazi maalum

Kutana na Bwana Songolo mtu tajiri, mkorofi na mkali sana, ambaye nae anajikuta yuko katikati ya mikasa hiyo ipatayo bwana Lidawi

Karibu kutazama, kulike na kusubscribe, bila usahau maoni yako, tunahitaji sana maoni yenu watazamaji wetu

Asanteni
 
Good cinematography, tatizo Ni hizi story zenu..Hivi huwa hamna story tofauti Na mapenzi Na uchawi?? Mtoto wa kizungu akiangalia avengers anakuwa inspired kusomea sayansi ili awe engineer atengeneze roboti kama la Ironman....ila bongo, mtoto akiangalia movie zenu anakuwa inspired kufanyA Nini? Kwenda kijijini Kwa Bibi akapewe uchawi au?
 
Tunashukuru kwa maoni yako, amini nakwambia haya yote maoni tunayapokea na kuyafanyia kazi, tunachoomba toka kwa watazamaji ni support tu,

Maana tunavhoshindwa kufanya filamu kama avengers ni kutokana na kukosa support kumbuka filamu za avengers hugharimu mamilioni ya madola, imagine kwa support ya kazi za kitanzania hiyo bajeti itaimudiwa namna gani.

Ila support yenu ndio mwanzo wa kufika huko, karibuni kusubscribe chaneli yetu
 
Jamani wikendi ndio huu, kama una nafasi, basi ingia youtube uangalie kazi nzuri kabisa ya kitanzania toka jamaa wanaitwa Filamu Pictures, ni kazi nzuri sana, tunaomba likes zenu, na comment Msisahau comment zenu ni muhimu muhimu sana kuliko mnavyofikiri, pia kusubscribe jamani ni muhimu muhimu sana, karibuni sana muinjoy, na ahadi kwenu kuwa kazi nyingi zitafuatia hii ni ya kwanza tu, Asanteni

Karibuni karibuni sana
 
Karibuni sana
 
Haya msichelewechelewe makosa uhondo wa kazi nzuri ya kitanzania huko Youtube iitwayo PETE, toka kwa Filamu Pictures, ni kazi nzuri sana, ingieni kwenye link
 
Jamani wikendi ndio huu, kama una nafasi, basi ingia youtube uangalie kazi nzuri kabisa ya kitanzania toka jamaa wanaitwa Filamu Pictures, ni kazi nzuri sana, tunaomba likes zenu, na comment Msisahau comment zenu ni muhimu muhimu sana kuliko mnavyofikiri, pia kusubscribe jamani ni muhimu muhimu sana, karibuni sana muinjoy, na ahadi kwenu kuwa kazi nyingi zitafuatia hii ni ya kwanza tu, Asanteni

Karibuni mtazame kazi hii nzuri sana
 
Karibuni mtazame kazi hii ipo EPISODE NNE, Karibuni mtazame Episode ya kwanza hadi ya nne
Jamani wikendi ndio huu, kama una nafasi, basi ingia youtube uangalie kazi nzuri kabisa ya kitanzania toka jamaa wanaitwa Filamu Pictures, ni kazi nzuri sana, tunaomba likes zenu, na comment Msisahau comment zenu ni muhimu muhimu sana kuliko mnavyofikiri, pia kusubscribe jamani ni muhimu muhimu sana, karibuni sana muinjoy, na ahadi kwenu kuwa kazi nyingi zitafuatia hii ni ya kwanza tu, Asanteni

Bongo Movie Bongo Lala.Bongo Music Taaluma isiyo na elimu na ubongo hautumiki
Ni muda sasa wa sisi watu wa tasnia hiyo kupokea maoni yenu, hata wewe una mchango katika tasnia hiyo, mchango kwa upande wa kutoa maoni ya kujenga ili kusaidia tuliomo kuelewa hasa cha kufanya
 
Kuna watu tupo kwenye tasnia kufanya kila tunaloweza kuleta mabadiliko, tupe nafasi

Hebu jaribu kuingia katika linki yetu ukaone tunachojaribu kufanya na tusikie maoni yako maana hayo ndio yatatuboresha sisi na tasnia kwa ujumla
mkuu wewe una elimu gani ya masuala ya filamu?
 
Back
Top Bottom