Washawasha
JF-Expert Member
- Aug 7, 2006
- 16,976
- 13,434
Karibu sana, na tutapenda kusoma maoni yakoSawa mkuu ngoja nikaicheki
Nalog off Z
Karibu sanaLink ipo chini, katazame huko youtube, like na u subscribe asante sana.
Filamu Pictures, wanawaletea kazi ya filamu ya kitanzania iitwayo PETE
Kutana na Bwana Lidawi, mvuvi mwenye hali ngumu na mke mgonjwa na jinsi anavyoingia matatizoni kutokana na pete ya maajabu iliyofika katika ulimwengu wa wanadamu kwa ajili ya kazi maalum
Kutana na Bwana Songolo mtu tajiri, mkorofi na mkali sana, ambaye nae anajikuta yuko katikati ya mikasa hiyo ipatayo bwana Lidawi
Karibuni kutazama kazi yetu huko youtube, jioni hii maridhawa kabisa inapendeza ukitumia kuingia youtube kutazama Episode nne za kazi yetu ya PETE kutoka kwetu FILAMU PICTURES
Karibu kutazama
Karibu kutazama, kulike na kusubscribe, bila usahau maoni yako, tunahitaji sana maoni yenu watazamaji wetuLink ipo chini, katazame huko youtube, like na u subscribe asante sana.
Filamu Pictures, wanawaletea kazi ya filamu ya kitanzania iitwayo PETE
Kutana na Bwana Lidawi, mvuvi mwenye hali ngumu na mke mgonjwa na jinsi anavyoingia matatizoni kutokana na pete ya maajabu iliyofika katika ulimwengu wa wanadamu kwa ajili ya kazi maalum
Kutana na Bwana Songolo mtu tajiri, mkorofi na mkali sana, ambaye nae anajikuta yuko katikati ya mikasa hiyo ipatayo bwana Lidawi
Tunashukuru kwa maoni yako, amini nakwambia haya yote maoni tunayapokea na kuyafanyia kazi, tunachoomba toka kwa watazamaji ni support tu,Good cinematography, tatizo Ni hizi story zenu..Hivi huwa hamna story tofauti Na mapenzi Na uchawi?? Mtoto wa kizungu akiangalia avengers anakuwa inspired kusomea sayansi ili awe engineer atengeneze roboti kama la Ironman....ila bongo, mtoto akiangalia movie zenu anakuwa inspired kufanyA Nini? Kwenda kijijini Kwa Bibi akapewe uchawi au?
Karibuni karibuni sanaJamani wikendi ndio huu, kama una nafasi, basi ingia youtube uangalie kazi nzuri kabisa ya kitanzania toka jamaa wanaitwa Filamu Pictures, ni kazi nzuri sana, tunaomba likes zenu, na comment Msisahau comment zenu ni muhimu muhimu sana kuliko mnavyofikiri, pia kusubscribe jamani ni muhimu muhimu sana, karibuni sana muinjoy, na ahadi kwenu kuwa kazi nyingi zitafuatia hii ni ya kwanza tu, Asanteni
Karibuni sanaJamani wikendi ndio huu, kama una nafasi, basi ingia youtube uangalie kazi nzuri kabisa ya kitanzania toka jamaa wanaitwa Filamu Pictures, ni kazi nzuri sana, tunaomba likes zenu, na comment Msisahau comment zenu ni muhimu muhimu sana kuliko mnavyofikiri, pia kusubscribe jamani ni muhimu muhimu sana, karibuni sana muinjoy, na ahadi kwenu kuwa kazi nyingi zitafuatia hii ni ya kwanza tu, Asanteni
Karibuni mtazame kazi hii nzuri sanaJamani wikendi ndio huu, kama una nafasi, basi ingia youtube uangalie kazi nzuri kabisa ya kitanzania toka jamaa wanaitwa Filamu Pictures, ni kazi nzuri sana, tunaomba likes zenu, na comment Msisahau comment zenu ni muhimu muhimu sana kuliko mnavyofikiri, pia kusubscribe jamani ni muhimu muhimu sana, karibuni sana muinjoy, na ahadi kwenu kuwa kazi nyingi zitafuatia hii ni ya kwanza tu, Asanteni
Jamani wikendi ndio huu, kama una nafasi, basi ingia youtube uangalie kazi nzuri kabisa ya kitanzania toka jamaa wanaitwa Filamu Pictures, ni kazi nzuri sana, tunaomba likes zenu, na comment Msisahau comment zenu ni muhimu muhimu sana kuliko mnavyofikiri, pia kusubscribe jamani ni muhimu muhimu sana, karibuni sana muinjoy, na ahadi kwenu kuwa kazi nyingi zitafuatia hii ni ya kwanza tu, Asanteni
Ni muda sasa wa sisi watu wa tasnia hiyo kupokea maoni yenu, hata wewe una mchango katika tasnia hiyo, mchango kwa upande wa kutoa maoni ya kujenga ili kusaidia tuliomo kuelewa hasa cha kufanyaBongo Movie Bongo Lala.Bongo Music Taaluma isiyo na elimu na ubongo hautumiki
mkuu wewe una elimu gani ya masuala ya filamu?Kuna watu tupo kwenye tasnia kufanya kila tunaloweza kuleta mabadiliko, tupe nafasi
Hebu jaribu kuingia katika linki yetu ukaone tunachojaribu kufanya na tusikie maoni yako maana hayo ndio yatatuboresha sisi na tasnia kwa ujumla
Nina cheti tumkuu wewe una elimu gani ya masuala ya filamu?