Njooni mtazame kazi hii ya kitanzania

Moja ya namna bora kuburudika katika wikendi yako ni kuingia youtube kutazama kazi ya PETE toka Filamu Pictures Karibuni mtazame kazi hii nzuri ya kitanzania
 
Sio mbaya,jitahidi ujiendeleze,alafu lenga soko la kimataifa kwenye kazi zako,bongo movie kwa sasa ni uchafu.
Asante sana, Pia karibu kutazama kazi yetu ya PETE, ambayo ipo youtube kwenye chaneli yetu iitwayo Filamu Pictures,
 
Katika wikendi hii, nmna moja ya kuburudika ni kuingia katika youtube chaneli yetu iitwayo FILAMU PICTURES na kisha kutazama kazi yetu iitwayo PETE ambayo ipo episode ya kwanza hadi ya nne.

Maoni yenu tunayohitaji kuyasikia pia maana ni muhimu sana kwetu. Karibuni
Asanteni sana wadau ambao mnapenda kutazama kazi ya PETE na wale mnaotoa maoni yenu, hakika tunajifunza na tutaboresha zaidi
 
Asante sana, Pia karibu kutazama kazi yetu ya PETE, ambayo ipo youtube kwenye chaneli yetu iitwayo Filamu Pictures,
Asante mkuu,mimi nilikuwa mpenzi sana wa bongo movie enzi za kina kanumba,lakini soko likaja kuharibiwa hapa kati.Filamu ninazoangalia za kitanzania ni za watayarishaji wa nje kama siri ya mtungi..
 
Asante mkuu,mimi nilikuwa mpenzi sana wa bongo movie enzi za kina kanumba,lakini soko likaja kuharibiwa hapa kati.Filamu ninazoangalia za kitanzania ni za watayarishaji wa nje kama siri ya mtungi..
Asante sana sana, furaha yangu kupokea maoni, tunaahidi kuboresha zaidi na kuleta simulizi zenye kuvutia zaidi, Karibu sana kufuatilia kazi zetu maana huu ni mwanzo
 
nasrimgambo utafika umechoka sana. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23] Kwanini unasema hivyo?

Ila pia karibu sana kuangalia kazi zetu, na maoni yako ya jinsi gani umeona kazi zetu pia tunataka sana kuyapata maana ndio yatatubadili na kutujenga kufanya kazi bora zaidi
 
Asante sana sana, furaha yangu kupokea maoni, tunaahidi kuboresha zaidi na kuleta simulizi zenye kuvutia zaidi, Karibu sana kufuatilia kazi zetu maana huu ni mwanzo
angalia tamthilia za kituruki,hakuna teknolojia kubwa iliyotumika lakini kazi zao zina mvuto sana ...kwa kuanzia mimi nakushauri zingatieni sana proffesionalism,zingatieni sana taaluma ya uandaaji wa filamu,wapiga picha wawe na taaluma,watunzi wawe na taaluma,director awe na taaluma,mtu wa soundtrack awe na taaluma na waigizaji wawe na taaluma....Imagine kwenye siri ya mtungi,wazungu wamechukua nyimbo za kibongo wakazitengeneza upya chini ya usimamizi wao,taarab ile ya habib swaleh wameitoa tamu sana kuliko hata aliyoimba mwenyewe. Proffesionalism.
 
Tunashukuru sana kwa maoni yako, na hakika yanatumika wadau wa filamu
 
Karibuni
 
Nashukuru sana wadau mlioingia katika link na kutazama kazi hii ya PETE kutoka FILAMU PICTURES, karibuni muendelee kuangalia episode zenginezo za PETE huko kwenye YouTube yetu ya FILAMU PICTURES karibuni sana

Msisahau kutoa maoni na pia kusubscribe maana kazi nyengine zilizo nzuri zaidi zitakuwa zinawajia
 
Weekend ndio hii imeingia, unaweza kuburudika kwa kutazama kazi nzuri toka FILAMU PICTURES iitwayo PETE, Karibuni sana

 
Karibuni kutazama kazi nzuri kutoka FILAMU PICTURES


 

Usikose kutazama Episode nne za tamthilia fupi ya PETE toka kampuni ya Filamu Pictures
Mkuu, hongera kwa hatua uliochukua kupublish hiyo filamu kupitia YouTube. Ningependa kukushauri kufanya tafiti juu ya Film distribution ili kuongeza wigo mpana kwa kazi zako na fursa nyingi zaidi kwa kufocus na soko la nje.
 

Karibuni mtazame kazi nzuri toka kwetu FILAMU PICTURES, na kutoa maoni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…