babu onyango
JF-Expert Member
- Jan 12, 2023
- 378
- 984
Ebu agiza ugali Babu onyango Nakuja kulipia. Hawa jamaa waseme na kusema kabisa hapa ili waje kuzikataa kauli zaoImekuwa ni kawaida kwa washabiki na wapenzi wa Simba kutoyakubali mafanikio ya Yanga na kubeza jitihada zao. Imefikia kiasi ambacho timu zote zilizofungwa na Yanga kwenye mashindano ya shirikisho kuziita ni timu mbovu/dhaifu.
Jambo la kustaajabisha ni kuwa Wamekuwa wakizipa sifa sana hizo timu kabla ya kukutana na Yanga, ila baada ya hizo timu kuchapwa na Yanga wamekuwa wakibadili kauli zao na kuziita vibonde..
Sasa naomba waje hapa waseme mapema kabla mechi haijapigwa, Je, USM Algers ni kibonde au timu nzuri?
Utetezi baada ya mechi hatutaki kuusikia
historia itaandikwa, hautoamini.... tunaleta kombe TanzaniaUzuri ni kwamba hata nyie wenyewe hamna amani! Yaani ni ile tu mtafanyaje lakini mnajua kabisa safari hii kazi mnayo.
Baelezeage hao Ngada FC Sembe FC Pusha FC Punda FC Bwimbwi.Imekuwa ni kawaida kwa washabiki na wapenzi wa Simba kutoyakubali mafanikio ya Yanga na kubeza jitihada zao. Imefikia kiasi ambacho timu zote zilizofungwa na Yanga kwenye mashindano ya shirikisho kuziita ni timu mbovu/dhaifu.
Jambo la kustaajabisha ni kuwa Wamekuwa wakizipa sifa sana hizo timu kabla ya kukutana na Yanga, ila baada ya hizo timu kuchapwa na Yanga wamekuwa wakibadili kauli zao na kuziita vibonde..
Sasa naomba waje hapa waseme mapema kabla mechi haijapigwa, Je, USM Algers ni kibonde au timu nzuri?
Utetezi baada ya mechi hatutaki kuusikia
Kama tutarudi na kombe tukitoka JNIA kituo kinachofuata ni IKULU halafu ndio JANGWANI.Mimi nashauri Kwa uongozi timu irudi jumapili siku ambayo watu baada ya kusali watakua wamepumzika. Bara Bara ya Airport itakua haina pirika nyingi.
Wapokeaji wawe wachache pale Airport na wengine wajipange kuanzia Makutano ya Tazara kuelekea Jangwani/klabuni.
Hali iyo itapunguza ajali baina ya watu na vyombo vya moto.
Itasidia kuuwacha uwanja wandege ukiwa salama pamoja na Abiria wanao ingia na kutoka.
Tukumbuke huu ni uwanja wa kimataifa na wakisasa, licha ya mapokezi miundo mbinu inatakiwa iwe salama.
Ulinzi uimarishwe eneo lote la msafara, Ili vibaka wa simu wasilete maafa.
Basi la kushangilia ubingwa liandaliwe mapema Ili mashujaa waweze kuonekana Hadharani. Television [emoji342] ya Taifa na vituo vingine vya television viungane na virushe matangazo ya mojakwamoja tangu ndege inatua mpaka wachezaji wakitoka Arrive gate.
Mwisho, mpira unadunda tucheze Kwa uangalifu na tuweze kutwaaa ubingwa.
Ikitokea tumepoteza, tusianze kutafuta mchawi.
Daima mbele nyuma mwiko.
Kombe?😀😀Kama tutarudi na kombe tukitoka JNIA kituo kinachofuata ni IKULU halafu ndio JANGWANI.