babu onyango
JF-Expert Member
- Jan 12, 2023
- 378
- 984
Imekuwa ni kawaida kwa washabiki na wapenzi wa Simba kutoyakubali mafanikio ya Yanga na kubeza jitihada zao. Imefikia kiasi ambacho timu zote zilizofungwa na Yanga kwenye mashindano ya shirikisho kuziita ni timu mbovu/dhaifu.
Jambo la kustaajabisha ni kuwa Wamekuwa wakizipa sifa sana hizo timu kabla ya kukutana na Yanga, ila baada ya hizo timu kuchapwa na Yanga wamekuwa wakibadili kauli zao na kuziita vibonde..
Sasa naomba waje hapa waseme mapema kabla mechi haijapigwa, Je, USM Algers ni kibonde au timu nzuri?
Utetezi baada ya mechi hatutaki kuusikia