Ni Kupepea moto kwa kutumia karavati mkuu.kuonga ni nini kwanza tuanzie hapo
kuonga ni nini kwanza tuanzie hapo
Ni Kupepea moto kwa kutumia karavati mkuu.
dodge
Inategemea unamhonga nani ??
Happy dude [emoji67]β[emoji538]
Niliona kwa demu wako. Ana wanaume zaidi ya wanne nawewe watano alfu unamhonga kweli ukijua upo peke yako. Pole sana mkuu kama hulijui hilo.
Happy dude [emoji67]β[emoji538]
Na usipohonga mapenzi hayanogi abadaniπ
Bado nakuambia hivi inategemea unamuhonga mwanamke yupi ?? Kuna mademu wanastahili kutuchuna sana tu maana unakuta mzuri na anajiheshimu sio malaya. Huyo kwangu mimi kumhonga sioni shida na najihisi very proud kuwa kidume ninayemmiliki. Ila kuhonga mwanamke malaya au unajua limwanamke linakujywa savanna mpaka kumi na bado linaomba Uongezeee...!
Happy dude [emoji67]β[emoji538]
Kuhonga sio kuonga.
Kwa uzoefu wangu, ni vigumu sana kupatiwa papuchi bila kuhonga
Hamnaga mterezoKuhonga sio kuonga.
Kwa uzoefu wangu, ni vigumu sana kupatiwa papuchi bila kuhonga