Light saber
JF-Expert Member
- Nov 3, 2017
- 4,368
- 7,935
Tunawalaumu bure tu, ukitaka kuyaenjoi we fanya hivyo utaleta mrejesho
Kwani kuhonga mpaka akuombe?Kuhonga nilipata zero
Mademu unakula bure Huwa sina Tamaa kwanza Nakula demu aliyevutiwa na mimi Siyo niliyevutiwa nae
Nikivutiwa na Demu Ntatengeneza Scenario Avutiwe na. mimi alafu namkula kimasihara
Ila akiwa Demu/mpenzi so long Hajaniomba hela nakuwa nampa me mwenyewe.
HUKO KUMPA MWENYEWE SIYO KUHONGA
Kuonga maana yake nini ?Hivi wana jamiiForum kuonga ni sawa au ni jambo baya kwa mwanaume kamili
Sent using Jamii Forums mobile app
Aki wallahi Namwona Dame ana job ana life lake hajawahi niomba hata mia na ninamkulaga jpili Off anakuja kunifulia na kufanya usafi kimazabe naacha 20 mezani akimaliza aichukue Demu hajaniomba hela simpi 😂😂😂😂Kwani kuhonga mpaka akuombe?
mterezo upo sanaaaa Tu labda ukute una sura kama Wasira Na mvuto huna 😂😂
Kuna utofauti mkuu
KumbeeeNi jambo mbaya sana na nilaana kubwa mnoo...
Usijaribu kufanya huo ujinga
Sent using Jamii Forums mobile app
Inaumaaa no free lunchNi jambo mbaya sana na nilaana kubwa mnoo...
Usijaribu kufanya huo ujinga
Sent using Jamii Forums mobile app
Unapompa mwanamke zawadi nayo pia ni kuhonga haijalishi unampa kitu cha thamani gani
Kuhonga tunatofautiana,utofauti hutokea kutokana na kipato pia ni kwakiwango gani unamjali mwanamke wako
Wadanganye tu wenzioNi jambo mbaya sana na nilaana kubwa mnoo...
Usijaribu kufanya huo ujinga
Sent using Jamii Forums mobile app