Njooni tudiscuss mara moja mapenzi matamuu

Njooni tudiscuss mara moja mapenzi matamuu

Kuhonga nilipata zero

Mademu unakula bure Huwa sina Tamaa kwanza Nakula demu aliyevutiwa na mimi Siyo niliyevutiwa nae
Nikivutiwa na Demu Ntatengeneza Scenario Avutiwe na. mimi alafu namkula kimasihara
Ila akiwa Demu/mpenzi so long Hajaniomba hela nakuwa nampa me mwenyewe.
HUKO KUMPA MWENYEWE SIYO KUHONGA
 
Kwani kuhonga mpaka akuombe?
 
Kwani kuhonga mpaka akuombe?
Aki wallahi Namwona Dame ana job ana life lake hajawahi niomba hata mia na ninamkulaga jpili Off anakuja kunifulia na kufanya usafi kimazabe naacha 20 mezani akimaliza aichukue Demu hajaniomba hela simpi 😂😂😂😂
 
Unapompa mwanamke zawadi nayo pia ni kuhonga haijalishi unampa kitu cha thamani gani
Kuhonga tunatofautiana,utofauti hutokea kutokana na kipato pia ni kwakiwango gani unamjali mwanamke wako
 
Back
Top Bottom