Njooni tudiscuss mara moja mapenzi matamuu

I mean kumuonga dem au msichana yyte

Sent using Jamii Forums mobile app

Bado nakuambia hivi inategemea unamuhonga mwanamke yupi ?? Kuna mademu wanastahili kutuchuna sana tu maana unakuta mzuri na anajiheshimu sio malaya. Huyo kwangu mimi kumhonga sioni shida na najihisi very proud kuwa kidume ninayemmiliki. Ila kuhonga mwanamke malaya au unajua limwanamke linakujywa savanna mpaka kumi na bado linaomba Uongezeee...!

Happy dude [emoji67]‍[emoji538]
 
Daah bro umenifungua macho sana

Back
Top Bottom