Njooni tuelimishane

Njooni tuelimishane

44mg44

JF-Expert Member
Joined
Jun 16, 2019
Posts
2,158
Reaction score
2,186
1. Je mwezi nao huwa una mizunguko miwili Kama Dunia yetu?

2. Kama mwez hauna rotation bas huwa tunauona sehem ya upande mmoja tu, au mim nko wrong??

3. Kama mwez haujizungush kweny mhimili wake Ni sababu gan ya Kifizikia inayosababisha Dunia iwe na rotatiion na revolusion badala ya revolusion pekee Kama ulivyo Mwezi???

NB: Revolution kweny Mwezi namaansha Mwezi kuizunguka Dunia
 
Muda sasa wa kuachana na sayansi za kishetan na uongo mtupu, tumia macho yako kupima hivyo ulivyofundishwa darasan kama vinaleta mantiki.

Dunia haizunguki na haijawai kuzunguka na haitowai kuzunguka maana jua ndilo huizunguka dunia, the same way kwa mwez unaizunguka dunia.

Mengine pima kwa akili yako utajua ukwel
 
Huu ujinga wa shetani kudanganya watu tu kuna wadau wamesema vizuri sana hapo juu!
 
1. Yah, mwezi unazunguka Dunia na kujizungusha kwenye muhimili wake

2. Mwezi unatumia siku takribani 27 kukamilisha mzunguko mmoja kuizunguka dunia, na vilevile unatumia mda huo huo kukamilisha mzunguko mmoja kwenye muhimili wake, Hii dhana inayojulikana kama Tidal Locking ndio inayofanya tuone upande mmoja tu wa mwezi

3. Mwezi unazuguka pia kwenye muhimili wake.
 
Hii bado inanichanganya,as long as mwezi unarotate bas lazima tuone both sides
 
1. Sijaelewa unamaanisha nini...
2. Upo sahihi mwezi haufanyi rotation sisi tunaona uso mmoja wa mwezi tuu binadamu wote duniani wanaona uso mmoja wa mwezi toka karne ya binadamu hajaevolve
 
Muda sasa wa kuachana na sayansi za kishetan na uongo mtupu, tumia macho yako kupima hivyo ulivyofundishwa darasan kama vinaleta mantiki.

Dunia haizunguki na haijawai kuzunguka na haitowai kuzunguka maana jua ndilo huizunguka dunia, the same way kwa mwez unaizunguka dunia.

Mengine pima kwa akili yako utajua ukwel
Ndio mafunzo ya kanisani kwenu au msikitini kwenu?
 
Hii bado inanichanganya,as long as mwezi unarotate bas lazima tuone both sides
Maswali haya hayakua na haja ya kufunguliwa uzi, dakika chache za kuzurura Google kungekupa majibu

Soma kuhusu Tidal Locking, mwezi una rotate kwa kasi ile ile inayotumia kuzunguka dunia thus why unaona uso mmoja tu wa mwezi
 
Muda sasa wa kuachana na sayansi za kishetan na uongo mtupu, tumia macho yako kupima hivyo ulivyofundishwa darasan kama vinaleta mantiki.

Dunia haizunguki na haijawai kuzunguka na haitowai kuzunguka maana jua ndilo huizunguka dunia, the same way kwa mwez unaizunguka dunia.

Mengine pima kwa akili yako utajua ukwel
Duh! Bange hizi jamani. Kuweni makini.
 
1. Yah, mwezi unazunguka Dunia na kujizungusha kwenye muhimili wake

2. Mwezi unatumia siku takribani 27 kukamilisha mzunguko mmoja kuizunguka dunia, na vilevile unatumia mda huo huo kukamilisha mzunguko mmoja kwenye muhimili wake, Hii dhana inayojulikana kama Tidal Locking ndio inayofanya tuone upande mmoja tu wa mwezi

3. Mwezi unazuguka pia kwenye muhimili wake.
Kumbe !
 
Muda sasa wa kuachana na sayansi za kishetan na uongo mtupu, tumia macho yako kupima hivyo ulivyofundishwa darasan kama vinaleta mantiki.

Dunia haizunguki na haijawai kuzunguka na haitowai kuzunguka maana jua ndilo huizunguka dunia, the same way kwa mwez unaizunguka dunia.

Mengine pima kwa akili yako utajua ukwel
Nisawasawa na kusema miguu huwa haitembei bali viatu ndo hutembea, hivyo unafaa sana kwenye jamvi mkuu
 
Mwezi una mizunguko yote miwili kama dunia ilivyo.Tofauti yake mwezi hujixungusha kwenye mhimili wake polepole sana. Mzunguko wake hukua siku kumi na nne.Kama ni mchunguzi wa mambo utagundua sura ya mwezi hubadilika nyakati fulani utaona weisi kama vile kuna shimo na wakati mwingine mwezi hung'ara sana yaani una smooth surface.
 
Hii bado inanichanganya,as long as mwezi unarotate bas lazima tuone both sides
Hatuoni upande mmoja tu! Wewe chunguza utaona sura ya mwezi inabadilikabadilika Kila wakati. Maana yake ile sehemu uliyoona Leo haitakuwa ileile siku kadhaa zijazo.
 
Maswali haya hayakua na haja ya kufunguliwa uzi, dakika chache za kuzurura Google kungekupa majibu

Soma kuhusu Tidal Locking, mwezi una rotate kwa kasi ile ile inayotumia kuzunguka dunia thus why unaona uso mmoja tu wa mwezi
Mfano nikiwa SA na mwingine Canada muonekano wa mwezi utakua mmoja au mmoja ataona mbele mwingine nyuma.
 
Back
Top Bottom