NairobiWalker
JF-Expert Member
- Oct 31, 2012
- 14,267
- 14,890
Tumepigiwa kelele humu sana jinsi Tanzania ilivyo nchi iliyoshiba. Wakenya tumetusiwa kwa Kula ugali Sukuma na nyama ya ng'ombe. Mie nilidhani Tanzania wana vyakula vilivyotoka mbinguni direct kama maana vile ila nimeshangaa kumbe wengi humu ni walaji panya. Ndugu wangu MK24 alipoanzisha uzi wa ulaji panya Tanzania nilidhani ni uchokozi ila nimeshangaa Watanzania wengi kama Joto la Jiwe wakisifia nyama ya panya. Basi nimefungua huu uzi ili walaji panya na mbwa Watanzania wajiburudishe na kuelezana hadithi za nyama ya panya na mbwa.