Njooni tule panya

Njooni tule panya

NairobiWalker

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2012
Posts
14,267
Reaction score
14,890
Tumepigiwa kelele humu sana jinsi Tanzania ilivyo nchi iliyoshiba. Wakenya tumetusiwa kwa Kula ugali Sukuma na nyama ya ng'ombe. Mie nilidhani Tanzania wana vyakula vilivyotoka mbinguni direct kama maana vile ila nimeshangaa kumbe wengi humu ni walaji panya. Ndugu wangu MK24 alipoanzisha uzi wa ulaji panya Tanzania nilidhani ni uchokozi ila nimeshangaa Watanzania wengi kama Joto la Jiwe wakisifia nyama ya panya. Basi nimefungua huu uzi ili walaji panya na mbwa Watanzania wajiburudishe na kuelezana hadithi za nyama ya panya na mbwa.
 
Hehehehe!! ila kumbuka hapa ina maana tunaingilia chakula cha paka na kuwaacha na njaa

Anyway karibu, tumeambiwa ni tamaduni ya Wahehe na jamii kadhaa Tanzania kutafuna haya mavitu

14717258_1722966954690390_291991552389916075_n.jpg

panya-2.jpg
 
Hahahaha....wah wah, kweli njaa ni mbaya
 
Tumepigiwa kelele humu sana jinsi Tanzania ilivyo nchi iliyoshiba. Wakenya tumetusiwa kwa Kula ugali Sukuma na nyama ya ng'ombe. Mie nilidhani Tanzania wana vyakula vilivyotoka mbinguni direct kama maana vile ila nimeshangaa kumbe wengi humu ni walaji panya. Ndugu wangu MK24 alipoanzisha uzi wa ulaji panya Tanzania nilidhani ni uchokozi ila nimeshangaa Watanzania wengi kama Joto la Jiwe wakisifia nyama ya panya. Basi nimefungua huu uzi ili walaji panya na mbwa Watanzania wajiburudishe na kuelezana hadithi za nyama ya panya na mbwa.
duh,hata mimi nilidhani ni propaganda ya mkuu .mk254.kumbe nchi ya viwonder haina shibe 😀
 
Kila mtu anatamaduni zake, Wachina hula mbwa na nyoka, wafaransa hula chura. Jamii ya wa kamba huku kenya hula Mizoga ya mbwa si kwa tamaduni ama ustaarabu ila ni njaa na ukame uliopo. Tafakari hayo
Hehehe huu ni ukweli tupu
 
Eugene Wamalwa leo amethibitisha njaa ya Kenya mpaka mnaanza kutamani nyama ya panya. Kwa taarifa yenu hakuna kabila hata moja Tanzania wanamila ya kula panya. Mkija na picha zisizo thibitishwa hiyo inaingia kwenye kundi la fake news.
 
Kama sio tamaduni basi ni njaa.
 
Kama sio tamaduni basi ni njaa.
Mmeamua kuamini mnachotaka kuamini, wananchi wanachoma mshamba na misitu kuuwa panya wanaokula mbegu sio kuliwa na watu. But beside all that, kwani kula panaya ukapa protein kuna shida gani? Mbona from Congo to Cameroon wanakula gorillas? Labda tuanze kuexport panya Kenya kupunguza njaa.
 
Eugene Wamalwa leo amethibitisha njaa ya Kenya mpaka mnaanza kutamani nyama ya panya. Kwa taarifa yenu hakuna kabila hata moja Tanzania wanamila ya kula panya. Mkija na picha zisizo thibitishwa hiyo inaingia kwenye kundi la fake news.

Mbona unatokwa povu na wenzako wamekubali kuwa ni walaji wa panya?
 
Nyama ni nyama, lakini panya sio chalula cha watanzania. West Africans wanakula panya lakini sio sisi,tuna vitu vingi tunaweza kula ikiwa pamoja na wanyama wa porini, punda milia, swala, nyati, nguruwe mwitu nk.
 
Ndani ya duka moja la bucha apo dar, asikwambie mtu, hawa wadudu watam sana ukiishusha na mtori dah[emoji3] [emoji191] !
FB_IMG_1518456912047.jpg

Katika harakati za uandalizi wa kamnofu pendwa..
FB_IMG_1518951640841.jpg

mwisho unamalizia na ze panyaz mazeee, tz hoyeeee[emoji3] [emoji125] [emoji122]
FB_IMG_1518697325137.jpg
 
Back
Top Bottom