NairobiWalker
JF-Expert Member
- Oct 31, 2012
- 14,267
- 14,890
Hehehehe!! ila kumbuka hapa ina maana tunaingilia chakula cha paka na kuwaacha na njaa
Anyway karibu, tumeambiwa ni tamaduni ya Wahehe na jamii kadhaa Tanzania kutafuna haya mavitu
Thread closedKila mtu anatamaduni zake, Wachina hula mbwa na nyoka, wafaransa hula chura. Jamii ya wa kamba huku kenya hula Mizoga ya mbwa si kwa tamaduni ama ustaarabu ila ni njaa na ukame uliopo. Tafakari hayo
duh,hata mimi nilidhani ni propaganda ya mkuu .mk254.kumbe nchi ya viwonder haina shibe πTumepigiwa kelele humu sana jinsi Tanzania ilivyo nchi iliyoshiba. Wakenya tumetusiwa kwa Kula ugali Sukuma na nyama ya ng'ombe. Mie nilidhani Tanzania wana vyakula vilivyotoka mbinguni direct kama maana vile ila nimeshangaa kumbe wengi humu ni walaji panya. Ndugu wangu MK24 alipoanzisha uzi wa ulaji panya Tanzania nilidhani ni uchokozi ila nimeshangaa Watanzania wengi kama Joto la Jiwe wakisifia nyama ya panya. Basi nimefungua huu uzi ili walaji panya na mbwa Watanzania wajiburudishe na kuelezana hadithi za nyama ya panya na mbwa.
Hehehe huu ni ukweli tupuKila mtu anatamaduni zake, Wachina hula mbwa na nyoka, wafaransa hula chura. Jamii ya wa kamba huku kenya hula Mizoga ya mbwa si kwa tamaduni ama ustaarabu ila ni njaa na ukame uliopo. Tafakari hayo
Kama sio tamaduni basi ni njaa.Eugene Wamalwa leo amethibitisha njaa ya Kenya mpaka mnaanza kutamani nyama ya panya. Kwa taarifa yenu hakuna kabila hata moja Tanzania wanamila ya kula panya. Mkija na picha zisizo thibitishwa hiyo inaingia kwenye kundi la fake news.
Mmeamua kuamini mnachotaka kuamini, wananchi wanachoma mshamba na misitu kuuwa panya wanaokula mbegu sio kuliwa na watu. But beside all that, kwani kula panaya ukapa protein kuna shida gani? Mbona from Congo to Cameroon wanakula gorillas? Labda tuanze kuexport panya Kenya kupunguza njaa.Kama sio tamaduni basi ni njaa.
Eugene Wamalwa leo amethibitisha njaa ya Kenya mpaka mnaanza kutamani nyama ya panya. Kwa taarifa yenu hakuna kabila hata moja Tanzania wanamila ya kula panya. Mkija na picha zisizo thibitishwa hiyo inaingia kwenye kundi la fake news.
Nyama ni nyama, lakini panya sio chalula cha watanzania. West Africans wanakula panya lakini sio sisi,tuna vitu vingi tunaweza kula ikiwa pamoja na wanyama wa porini, punda milia, swala, nyati, nguruwe mwitu nk.Mbona unatokwa povu na wenzako wamekubali kuwa ni walaji wa panya?