Mkuu upo wap??kma upo dar naomba nije nicheck niweze kujua ulivyopangilia hiyo tower plz mkuu au nicheck kwa whatsapp 0717200521 ili nipate more pics n jins ulivyotumia vifaa..ahsante snaStart this Big boss.!
Unaweza lima miche ya mboga mboga kuanzia 150 mpaka 200 per Tower na kuuza 500 kila mche baada ya mwezi.! Mfano wa zao=Chinese
Uzuri wake.!
1. Mtaji mdogo kuanza
2. Gharama ndogo sana ya maji
3. Hata mjini unafanya.
4. The more the Tower the more You gain
5. Gharama ndogo ya usimamizi.
Mtaji wako si haba hata kidogo kuanzisha kitu kama hiki. Being initiative ndicho ulichobakiza tu mkuu wangu.
Niishie hapa.
View attachment 894841