😀😀😀😀😀Kurudia kuwa kiongozi wa chakula pale kigoma sec ingekua poa sana kwa mchuzi ule...
HahahaNimewahi nafasi
Kwani uhai wako uko hatarini?unaumwa?, hekima huna au ilipungua wapiAniongezee zawadi ya maisha(uhai) na hekima
Ndio ninaumwa... Kuna kipindi hekima ilinipungua kidogo hivyo nitaomba airudishe na niishi kadiri ya mapendo yakeKwani uhai wako uko hatarini?unaumwa?, hekima huna au ilipungua wapi
Siku moja tu ya uchaguzi wa Raismfano
Ingetokea mungu akakuambia nakupa nafasi ya bure nikurudishe nafasi gani moja/siku gani moja tu, ambayo iliwahi kukutokea huko nyuma ambayo mpaka sasa ukiikumbuka unajutia unatamani ungeitumia vizuri kurekebisha pale ulipokosea, sasa anataka akurudishie tena kama anarewind hivi ili utimize ulichokosea au ulivuruga siku hiyo,
Je ni tukio gani au hali gani ilitokea siku hiyo ambayo utataka mungu akurudishie ili uifanye vyema?
kumbuka kakupa nafasi moja tu.
hebu tiririkeni tuone
Mungu au MUNGU inawakilisha heaven Father[emoji818]
mungu inawakilisha devils[emoji777]
Kuwa makini sana kijana na uandish wako hasa hapo sijui unamaanisha nan.....!!!!!!!
Jina zito sana hili liheshimiwe bhs
HahahahahaKurudia kuwa kiongozi wa chakula pale kigoma sec ingekua poa sana kwa mchuzi ule...