njooni tushee kidogo hili ishu,,

njooni tushee kidogo hili ishu,,

CTX

JF-Expert Member
Joined
Jan 3, 2015
Posts
1,273
Reaction score
985
mfano
Ingetokea mungu akakuambia nakupa nafasi ya bure nikurudishe nafasi gani moja/siku gani moja tu, ambayo iliwahi kukutokea huko nyuma ambayo mpaka sasa ukiikumbuka unajutia unatamani ungeitumia vizuri kurekebisha pale ulipokosea, sasa anataka akurudishie tena kama anarewind hivi ili utimize ulichokosea au ulivuruga siku hiyo,

Je ni tukio gani au hali gani ilitokea siku hiyo ambayo utataka mungu akurudishie ili uifanye vyema?

kumbuka kakupa nafasi moja tu.

hebu tiririkeni tuone
 
Yule manzi ningempiga mimba c kwa maringo Yale !! bac ndo hivo cku hazrud nyuma
 
  • Thanks
Reactions: CTX
Kwani uhai wako uko hatarini?unaumwa?, hekima huna au ilipungua wapi
Ndio ninaumwa... Kuna kipindi hekima ilinipungua kidogo hivyo nitaomba airudishe na niishi kadiri ya mapendo yake
 
Mungu au MUNGU inawakilisha heaven Father[emoji818]
mungu inawakilisha devils[emoji777]

Kuwa makini sana kijana na uandish wako hasa hapo sijui unamaanisha nan.....!!!!!!!
Jina zito sana hili liheshimiwe bhs
 
  • Thanks
Reactions: CTX
mfano
Ingetokea mungu akakuambia nakupa nafasi ya bure nikurudishe nafasi gani moja/siku gani moja tu, ambayo iliwahi kukutokea huko nyuma ambayo mpaka sasa ukiikumbuka unajutia unatamani ungeitumia vizuri kurekebisha pale ulipokosea, sasa anataka akurudishie tena kama anarewind hivi ili utimize ulichokosea au ulivuruga siku hiyo,

Je ni tukio gani au hali gani ilitokea siku hiyo ambayo utataka mungu akurudishie ili uifanye vyema?

kumbuka kakupa nafasi moja tu.

hebu tiririkeni tuone
Siku moja tu ya uchaguzi wa Rais
 
Mungu au MUNGU inawakilisha heaven Father[emoji818]
mungu inawakilisha devils[emoji777]

Kuwa makini sana kijana na uandish wako hasa hapo sijui unamaanisha nan.....!!!!!!!
Jina zito sana hili liheshimiwe bhs

naliheshimu sana aisee, ila sijamaanisha kwa nia mbaya mkuu
 
Kuna siku dada angu binamu aliniambia ana hamu ya kitu fulani hivi...akanishika nikagoma nikiikumbuka hiyo siku sina hamu...natamani ijirudie
 
  • Thanks
Reactions: CTX
Nyeto ya kwanza. Nyeto ya kwanza ulikuwa tamu aiseee sijapata ona. Ule utamu haujawahi jirudia tena, sijui uliendaga wapi....!
 
Nisinge mpigia kura magufuli labda ningekuwa napeta tu kitaaa,

Ila kwa sasa, mmmh napambana na hali yangu
 
Back
Top Bottom