Njooni tuzugumze

Njooni tuzugumze

Ilambo

JF-Expert Member
Joined
Oct 19, 2012
Posts
475
Reaction score
89
mi ni mwl wa sayansi phy na math.kitu kinachonishangaza serikali .mwl wa sc ana vipind 30 art 6.means ni mara 5.afu kwenye mshahara mnapata sawa..sasa najiuliza hiyo ni haki kwel na serikali haioni hilo...ndo maana waimu wa sc wanakimbilia fan zingine wanapoenda kujiendeleza..wadao eb funguken....
 
duuu witoooo!!!! njaa zinaumaaaa.....
 
mi ni mwl wa sayansi phy na math.kitu kinachonishangaza serikali .mwl wa sc ana vipind 30 art 6.means ni mara 5.afu kwenye mshahara mnapata sawa..sasa najiuliza hiyo ni haki kwel na serikali haioni hilo...ndo maana waimu wa sc wanakimbilia fan zingine wanapoenda kujiendeleza..wadao eb funguken....

Ni wapi huko mwl wa art ana vipindi 6., nahitaji maelezo sahihi.
 
sasa hapo inabidi uchezeshe mind yako uko mjini au kijini!
 
Mwl wa sayansi katika level ipi mkuu?
 
mi ni mwl wa sayansi phy na math.kitu kinachonishangaza serikali .mwl wa sc ana vipind 30 art 6.means ni mara 5.afu kwenye mshahara mnapata sawa..sasa najiuliza hiyo ni haki kwel na serikali haioni hilo...ndo maana waimu wa sc wanakimbilia fan zingine wanapoenda kujiendeleza..wadao eb funguken....

Vipingi 30 kwa mwaka? Au kwa wiki? Hata hivyo ni uongo, unajua english peke yake ina vipindi sita sawa na hesabu, masomo mengine yote yana vipindi vitatu kwa wiki, wew physics ya wapi unasema?

Acha uzembe chapa kazi kama hutaki acha kazi.

Walimu wanaongoza kuichagua ccm pamoja na shida zote hizi, na mfe tu.
 
Kaka badilisha fakati nenda kilimo lakini nikuulize ualimu ulichagua mwenyewe au ndugu zako walikushauri ukasome?
 
mi ni mwl wa sayansi phy na math.kitu kinachonishangaza serikali .mwl wa sc ana vipind 30 art 6.means ni mara 5.afu kwenye mshahara mnapata sawa..sasa najiuliza hiyo ni haki kwel na serikali haioni hilo...ndo maana waimu wa sc wanakimbilia fan zingine wanapoenda kujiendeleza..wadao eb funguken....

Ina maana unataka walimu wa arts wafundishe science ili muwe sawa? Pamoja na kwamba kuna idadi ya vipindi ambavyo haitakiwi izidi kwa walimu wa arts na science, kinachowaumiza walm. wa science ni uchache wao na kujikuta wanafundisha madarasa mengi.
 
Vipingi 30 kwa mwaka? Au kwa wiki? Hata hivyo ni uongo, unajua english peke yake ina vipindi sita sawa na hesabu, masomo mengine yote yana vipindi vitatu kwa wiki, wew physics ya wapi unasema?

Acha uzembe chapa kazi kama hutaki acha kazi.

Walimu wanaongoza kuichagua ccm pamoja na shida zote hizi, na mfe tu.

Kwa wiki vinatimia vipindi 30. Fikiria mwl. anafundisha hesabu Form 1-4, km ni mkondo mmoja mmoja ni sawa na vipindi 24 kwa wiki. Huyo mwl mwongezee Phy. Form 1 na 2 vipindi 3 kila darasa. Havijatimia 30?
 
Polenii sanaaa mngelijuaa hiloo mngeendaa kozii zinginee sioualimuu usengee minakomaa na PCB yanguu afuu kuna mtuu kasoma HKL na anafundisha civics frshhh hahahahaha inaumiza sanaaa
 
Acha kazi kama unaona umeonewa.au kasomee michezo uwe na kipindi kimoja kwa wiki
 
Ina maana unataka walimu wa arts wafundishe science ili muwe sawa? Pamoja na kwamba kuna idadi ya vipindi ambavyo haitakiwi izidi kwa walimu wa arts na science, kinachowaumiza walm. wa science ni uchache wao na kujikuta wanafundisha madarasa mengi.

Mwl nakushauri uende usome computer Engineering su IT ili ufanyiwe re categorization, utaumia bure nimewaona walimu wengi wa sayansi wametka kw njia hiyo
 
Back
Top Bottom