Njooni Wakuu nimekwama[emoji119]

Njooni Wakuu nimekwama[emoji119]

Kwa mfano ulikuwa unamkimbiza mwizi aliyekuibia pochi yenye laki tano na simu ya thamani ya laki tatu, mara kichochoroni ukamuona mpenzi wako na mtu mwingine wamekumbatia na wanapigana mabusu.

Je? Ungendelea kumkimbiza mwizi au ungemfuata mpenzi wako??????????
Asante tu kwa kunichekesha mimi [emoji1][emoji1]
Sasa si muda uo unamkodolea macho hyo mpenzio mwizi si kasha kuchenga kitambo[emoji2][emoji2]
 
Nitachukulia Hilo tukio la fumanizi kama wazamini tu wa kipindi cha kumkimbiza mwizi.. siachi hela wewe tena nikiwaona ndo naongeza spidi na kelele.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Wallh nimecheka mok machozi jmn
 
Badala ya kutoa maoni kwenye mambo yenye maana kwa ajili ya mustakabali wa maisha na kizazi cha sasa na baadae unatoa maoni kweny mambo yasiyo na msingi
[emoji1][emoji1]Si ndo hapo mambo yasio ya maan lakn kapata muda wa kusoma na kuandika kitu jmn aoni kama na yeye kapoteza muda au ilo hajaliona
 
Ipo hivi

1. Mwizi huwezi kumkamata
2. Manzi wako unamjua Ni punga au

1. Kwakuwa cwezi kumkamata mwizi Ntafikiria je aliyekumbatiwa anaweza kunirudishia nilivyoibiwa nimkope afu niachane naye
2.kama manzi Hana uwezo wakunirudishia nlivyoibiwa ntaongeza maarifa ya kumkamata mwizi

Nb. Una kupoteza vyote usipokuwa makini👈
 
Back
Top Bottom