Sioni shida yyte kama wanachama wenyewe wataridhia,na wala haitokua timu ya kwanza kuuzwa...kwani hao wanachama walipata vipi umiliki?maana it’s obvious kua hawakuianzaisha hawa wanachama wa leoTimu ya wanachama atamiliki vipi mtu mmoja?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sioni shida yyte kama wanachama wenyewe wataridhia,na wala haitokua timu ya kwanza kuuzwa...kwani hao wanachama walipata vipi umiliki?maana it’s obvious kua hawakuianzaisha hawa wanachama wa leoTimu ya wanachama atamiliki vipi mtu mmoja?
Simba bado hajafika level za kuwanunua hao watu.
Level za Simba ni kama Yanga tu bado, average players au la sivyo wawekeze kwa wachezaji ambao ni vijana wenye kuweza kuwa wachezaji wazuri.
Mo hatoiba ila ataichukua kabisa simba kuwa mali yake. Hata hapo sasa ilipofikia uongozi wakiambiwa walipe madeni kwa Mo watamlipa nini?Isije kuwa Mo ana overprice wachezaji ili aweze kuiba vizuri hapo simba
Mzee nae mpigaji tu,Wapigaji ambao wasaka opportunities ndo wapo makini kuliko nyie wafuata upepo. Hapo klabun kwenye mtu makini ni mzee kilomoni tu, wengine mbumbumbu