Nkana wataka mil 800 kwa Bwalya , Simba wagoma

Timu ya wanachama atamiliki vipi mtu mmoja?
Sioni shida yyte kama wanachama wenyewe wataridhia,na wala haitokua timu ya kwanza kuuzwa...kwani hao wanachama walipata vipi umiliki?maana it’s obvious kua hawakuianzaisha hawa wanachama wa leo
 
Uchumi wetu tu, bado hauruhusu, Bwalya ni mchezaji wa kawaida sana. Ila wazambia wamesikia simba wana michuzi ndiyo wanataka kumtukuza kiasi hicho.

My take: madhara kutokukuza vipaji vyetu ndiyo haya hapa. The same to fc Barcelona and Neymar sagga.


Hakuna tofauti. Simba ilipaswa kujengwa kwa misingi imara sana ya kutasaka wachezaji wadogo creative na sio hawa wenye pancha kwenye mapumbu mpaka.

Simba bado hajafika level za kuwanunua hao watu.
Level za Simba ni kama Yanga tu bado, average players au la sivyo wawekeze kwa wachezaji ambao ni vijana wenye kuweza kuwa wachezaji wazuri.
 
Isije kuwa Mo ana overprice wachezaji ili aweze kuiba vizuri hapo simba
Mo hatoiba ila ataichukua kabisa simba kuwa mali yake. Hata hapo sasa ilipofikia uongozi wakiambiwa walipe madeni kwa Mo watamlipa nini?

Uongozi wa simba walipaswa kupunguza thamani ya club kwa kumzuia Mo kununua nunua wachezaji wakigeni. Watamzuia vipi?

Wanatakiwa kuwekeza kwa wachezaji wadowafogo, mfano angali wakina Mkude, Ndemla, Shabalala. Hawa ni mfano mzuri unazidisha mshahara tu kwao kila msimu anabaki kundini.

Angalia Messi, Jordi Alba,Sergi Roberto, Busquet, Pedro, Pique, Xavi, Iniesta, Puyol, mfano wa project bomba sana kutokea katika historia ya timu. Ni wachezaji wa gharama ndogo kwa timu na wameleta mafanikio makubwa sana.

Sisi soka kwetu ni burudani, na bado litakuwa burudani tu. Simba ipo kwa ajili ya Mo. Na hatuna ubavu wa kumfukuza Mo hata ulete sheria ipi pale. Simba haijajitegemea, na Mo anaitegemeza kwake kwa style ya kumiliki.

Tubaki kuwa mashabiki, maana hakuna namna, angalia wakati Mo hayupo simba. Simba ni nzuri Mo akiwepo tu. Mo atapata anachostahili kwa sababu anatumia fedha zake kuijenga timu. Ukiacha Mo nani alishasimama kuitetea simba kwa gharama zake kufa na kupona? Jibu ni Mo tu.

Nani mpaka sasa ameshanunua hisa zilizobakia hata kwa 10% ? Hakuna. Acha Mo aendelee tu, Kilomoni funga mdomo.
 
Wapigaji ambao wasaka opportunities ndo wapo makini kuliko nyie wafuata upepo. Hapo klabun kwenye mtu makini ni mzee kilomoni tu, wengine mbumbumbu
Mzee nae mpigaji tu,
Kazaliwa Simba kaikuta leo anajifanya yake. Ina maana Mama Karume nae aeza sema Yanga ya kwake?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…