fimboyaasali
JF-Expert Member
- Jan 14, 2011
- 8,617
- 8,244
konkon ulimuona wapi wese akicheza?Kutokana na viungo wa yanga pamoja na mawinga wao basi sina Shaka kusema hifiz nkonkoni ata shine saana yanga
Mayele Alikuwa mshambuliaji bora lakini alikuwa na mapungufu kwenye finishing
Ilikuwa rahisi kwa mayele kufunga goli ngumu kuliko kufunga goli rahisi
Mayele hakuwa mzuri kwa vichwa
Ila huyu nkonkoni na finisher mzuri saana na pia ni mzuri kwa mipira ya juu
Namuona akifanya vizuri Kama alivyo fanya makambo 2018-2019
Mda utaongea