Rip mzee wetu
nilichukua jina lako na kulifanya kuwa langu huku jf.
Hongera sana kwa kuvuta jikoRip mzee wetu
nilichukua jina lako na kulifanya kuwa langu huku jf.
UmeniwahiHongera sana kwa kuvuta jiko
MwanaeMbona nimesikia juzijuzi kua huyu nkwabi mwanakilala amemuoa zuhura yunusi jamani,s???!!
Zuhura kamsilimisha? maana niliona wote wamevaa madude ya kiarabu