TANZIA Nkwabi Ng'wanakilala afariki dunia

TANZIA Nkwabi Ng'wanakilala afariki dunia

R.I.P Nkwabi...nilisoma na mwanawe miaka mingi nyuma...Pole sana Fumbuka km upo JF
 
Nitakukumbuka kwa mambo mawili
Mosi ulinifundisha conflict redolution and management pale SAUT pili kitabu chako cha unyayo wa nwalimu Nyerere sitasahau uliyoyaandika juu ya uongozi wa Tz na nyongeza nakumbuka wakati ule ukiwa ubalozi wa Zimbabwe sisi wazamiaji ugenini hatukunyimwa fulsa za kujieleza pale ubalozini! Ulitumia vyema taaluma yako ya habari kuzungumza na watu bila kuonyesha dharau!!!
 
Mbona nimesikia juzijuzi kua huyu nkwabi mwanakilala amemuoa zuhura yunusi jamani,s???!!
 
Back
Top Bottom