Komeo Lachuma JF-Expert Member Joined Oct 31, 2014 Posts 7,926 Reaction score 17,030 May 8, 2019 #1 Mashabiki wa Barca na wa Yanga wanafuatilia kwa umakini 1. Msiba wa Mengi 2. Video zinazohusishwa na Gwajima Hawa jamaa toka jana wapo busy na hayo mambo mawili hawazungumzii kabisa mpira. Wanahusika sana na kusambaza videos za Gwajima.
Mashabiki wa Barca na wa Yanga wanafuatilia kwa umakini 1. Msiba wa Mengi 2. Video zinazohusishwa na Gwajima Hawa jamaa toka jana wapo busy na hayo mambo mawili hawazungumzii kabisa mpira. Wanahusika sana na kusambaza videos za Gwajima.
Ochumeraa JF-Expert Member Joined May 18, 2015 Posts 4,505 Reaction score 5,715 May 8, 2019 #2 Kama kweli hivi lakini si kweli
Proved JF-Expert Member Joined Sep 10, 2018 Posts 32,639 Reaction score 42,908 May 8, 2019 #3 Tuhuma nzito hizi mkuu
kelao JF-Expert Member Joined Sep 24, 2012 Posts 8,132 Reaction score 5,800 May 8, 2019 #4 Mna utani wa ngumi
Kinyonyoke JF-Expert Member Joined Oct 4, 2016 Posts 3,498 Reaction score 13,138 May 8, 2019 #5 Huna point
Mbekenga JF-Expert Member Joined Jun 14, 2010 Posts 3,262 Reaction score 8,144 May 8, 2019 #7 Yalikuwa bize na mali za marehemu na mke wake badala ya kushabikia Barca yalivyoonyeshwa nyumba kali yakanyamaza kimya mpaka dada yao simsikii tena.
Yalikuwa bize na mali za marehemu na mke wake badala ya kushabikia Barca yalivyoonyeshwa nyumba kali yakanyamaza kimya mpaka dada yao simsikii tena.