Nlichogundua leo... Hawa Mashabiki ndo Wahusika wakuu wa Kusambaza jambo hili

Nlichogundua leo... Hawa Mashabiki ndo Wahusika wakuu wa Kusambaza jambo hili

Komeo Lachuma

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2014
Posts
7,926
Reaction score
17,030
Mashabiki wa Barca na wa Yanga wanafuatilia kwa umakini
1. Msiba wa Mengi
2. Video zinazohusishwa na Gwajima

Hawa jamaa toka jana wapo busy na hayo mambo mawili hawazungumzii kabisa mpira. Wanahusika sana na kusambaza videos za Gwajima.
 
Yalikuwa bize na mali za marehemu na mke wake badala ya kushabikia Barca yalivyoonyeshwa nyumba kali yakanyamaza kimya mpaka dada yao simsikii tena.
 
Back
Top Bottom