Nlipoona tu Referee ni Arajiga nikasema hapa hatutoboi leo

Komeo Lachuma

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2014
Posts
7,926
Reaction score
17,030
Hii match angepewa Kayoko ndo anaweza imudu. Arajiga hana stahimili. Anagawa sana kadi na pia si msikivu. Sikupenda yeye kupewa hii match. Nlijua tu kushinda ni ngumu.

Huyu jamaa asiwe anapewa derby. Derby apewe Kayoko ndo anazimudu sana. Tumefungwa lakini kwa mbinde.
 
Dahh!! Tukubali tu
 
Dirisha dogo lisipite bila Forward kusajiliwa..!

Hawa Waliopo hakuna anayejielewa...!
 
Hii match angepewa Kayoko ndo anaweza imudu. Arajiga hana stahimili. Anagawa sana kadi na pia si msikivu. Sikupenda yeye kupewa hii match. Nlijua tu kushinda ni ngumu.

Huyu jamaa asiwe anapewa derby. Derby apewe Kayoko ndo anazimudu sana. Tumefungwa lakini kwa mbinde.
Katoa kadi nyekundu yenye utata maana aikuwa na tofauti yoyote na Ile aliyostahili kupewa beki wa Simba abdulzak hamza kwenye derby ya Simba na yanga, kadi iyo imewaathiri yanga pakubwa na kupelekea matokeo yawe upande wa Azam, lakini ndio Mpira tugange yajayo!
 
Chukua vifaa ukachezeshe
7111-tCQ-5L._AC_UF1000,1000_QL80_.jpg
 
Katoa kadi nyekundu yenye utata maana aikuwa na tofauti yoyote na Ile aliyostahili kupewa beki wa Simba abdulzak hamza kwenye derby ya Simba na yanga, kadi iyo imewaathiri yanga pakubwa na kupelekea matokeo yawe upande wa Azam, lakini ndio Mpira tugange yajayo!
Mbona tukio la penati hamlizungumzii?
 
Hii match angepewa Kayoko ndo anaweza imudu. Arajiga hana stahimili. Anagawa sana kadi na pia si msikivu. Sikupenda yeye kupewa hii match. Nlijua tu kushinda ni ngumu.

Huyu jamaa asiwe anapewa derby. Derby apewe Kayoko ndo anazimudu sana. Tumefungwa lakini kwa mbinde.
Kama kuna referee mwenye utimamu na mwenye uwezo mkubwa wa kutafsiri matukio na kutoa maamuzi kulingana na sheria za FIFA kwa hapa Tanzania basi Arajiga anaongoza.

Tatizo ulikuwa na matokeo yako umekariri.
Ulijisahaulisha hukujua kuwa huu ni mpira sio maigizo ya sinema zetu.
 
Watu ambao hamujawahi kucheza mpira muna shida mno hivi kwa uchezaji ule mbovu wa Yanga unamlaumu vipi refa??wachezaji wanashuka viwango kila siku hilo haulioni?
 
Mavi. Kayoko wenu kapigwa benchi na hajaonekana tangu derby.
Arajiga ndio refa pekee anayeaminiwa na Caf kwa tanzania hii ndio mana kachaguliwa na caf.
 
Hii match angepewa Kayoko ndo anaweza imudu. Arajiga hana stahimili. Anagawa sana kadi na pia si msikivu. Sikupenda yeye kupewa hii match. Nlijua tu kushinda ni ngumu.

Huyu jamaa asiwe anapewa derby. Derby apewe Kayoko ndo anazimudu sana. Tumefungwa lakini kwa mbinde.
Sisi ndiyo Simba SC AKA;

1. Makolokolo SC.
2. Mbumbumbu SC.
3. Mipang'ang'a SC.
4. Malalamiko (Lialia) SC.
5. Makelele SC.
6. Madunduka SC.
7. Manyaunyau (mapaka) SC.
8. Mwakarobo SC.
9. Mikia SC.
10. Miso Misonda SC.
11. Manyang'au SC.
12. Mazumbukuku SC.
13. Mazombi SC.
14. Kinyume nyume SC.
15. Ngada SC.
16. Kolowizard SC
17. Zuwena SC.
18. Bebwabebwa (Mbeleko) SC.
19. Panya roads SC.
20. Kikanuni SC.
21. Kufa Kiume SC
22. Ubaya ubwege SC.
23. 5imba SC.
24. Visingizio SC (Visababu)
JamiiForums1683832807.jpeg
 
Back
Top Bottom