Nlipoona tu Referee ni Arajiga nikasema hapa hatutoboi leo

Nlipoona tu Referee ni Arajiga nikasema hapa hatutoboi leo

Katoa kadi nyekundu yenye utata maana aikuwa na tofauti yoyote na Ile aliyostahili kupewa beki wa Simba abdulzak hamza kwenye derby ya Simba na yanga, kadi iyo imewaathiri yanga pakubwa na kupelekea matokeo yawe upande wa Azam, lakini ndio Mpira tugange yajayo!
Tulia kijana. Kosa moja halihalalishi Kosa jingine. Baka alifanya kosa la wazi na akaadhibiwa, finished. Hizo nyingine ni mbwembwe tu. Ukiongelea ya Hamza ongelea pia na penalties mbili za Kibu. Hapo utakuwa umetenda haki.
 
Sisi ndiyo Simba SC AKA;

1. Makolokolo SC.
2. Mbumbumbu SC.
3. Mipang'ang'a SC.
4. Malalamiko (Lialia) SC.
5. Makelele SC.
6. Madunduka SC.
7. Manyaunyau (mapaka) SC.
8. Mwakarobo SC.
9. Mikia SC.
10. Miso Misonda SC.
11. Manyang'au SC.
12. Mazumbukuku SC.
13. Mazombi SC.
14. Kinyume nyume SC.
15. Ngada SC.
16. Kolowizard SC
17. Zuwena SC.
18. Bebwabebwa (Mbeleko) SC.
19. Panya roads SC.
20. Kikanuni SC.
21. Kufa Kiume SC
22. Ubaya ubwege SC.
23. 5imba SC.
24. Visingizio SC (Visababu)View attachment 3142197
Pengo la Kayoko limewachanganya sana mnajiropokea tu kama mumekunywa maji ya chooni.
 
Back
Top Bottom