Komeo Lachuma
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 7,926
- 17,030
Dahh!! Tukubali tuHii match angepewa Kayoko ndo anaweza imudu. Arajiga hana stahimili. Anagawa sana kadi na pia si msikivu. Sikupenda yeye kupewa hii match. Nlijua tu kushinda ni ngumu.
Huyu jamaa asiwe anapewa derby. Derby apewe Kayoko ndo anazimudu sana. Tumefungwa lakini kwa mbinde.
Katoa kadi nyekundu yenye utata maana aikuwa na tofauti yoyote na Ile aliyostahili kupewa beki wa Simba abdulzak hamza kwenye derby ya Simba na yanga, kadi iyo imewaathiri yanga pakubwa na kupelekea matokeo yawe upande wa Azam, lakini ndio Mpira tugange yajayo!Hii match angepewa Kayoko ndo anaweza imudu. Arajiga hana stahimili. Anagawa sana kadi na pia si msikivu. Sikupenda yeye kupewa hii match. Nlijua tu kushinda ni ngumu.
Huyu jamaa asiwe anapewa derby. Derby apewe Kayoko ndo anazimudu sana. Tumefungwa lakini kwa mbinde.
Mbona tukio la penati hamlizungumzii?Katoa kadi nyekundu yenye utata maana aikuwa na tofauti yoyote na Ile aliyostahili kupewa beki wa Simba abdulzak hamza kwenye derby ya Simba na yanga, kadi iyo imewaathiri yanga pakubwa na kupelekea matokeo yawe upande wa Azam, lakini ndio Mpira tugange yajayo!
..πππHersi afuatilie, labda jamaa hakufikisha
Kama kuna referee mwenye utimamu na mwenye uwezo mkubwa wa kutafsiri matukio na kutoa maamuzi kulingana na sheria za FIFA kwa hapa Tanzania basi Arajiga anaongoza.Hii match angepewa Kayoko ndo anaweza imudu. Arajiga hana stahimili. Anagawa sana kadi na pia si msikivu. Sikupenda yeye kupewa hii match. Nlijua tu kushinda ni ngumu.
Huyu jamaa asiwe anapewa derby. Derby apewe Kayoko ndo anazimudu sana. Tumefungwa lakini kwa mbinde.
Sisi ndiyo Simba SC AKA;Hii match angepewa Kayoko ndo anaweza imudu. Arajiga hana stahimili. Anagawa sana kadi na pia si msikivu. Sikupenda yeye kupewa hii match. Nlijua tu kushinda ni ngumu.
Huyu jamaa asiwe anapewa derby. Derby apewe Kayoko ndo anazimudu sana. Tumefungwa lakini kwa mbinde.