Ndumbayeye
JF-Expert Member
- Jan 31, 2009
- 7,413
- 4,020
Mkuu hiyo shida hata mie nimekumbana nayo nilikuwa natransfer kwenda tigo pesa ili nitume mchango wa harusi, pesa imekatwa nazungushwa tu mara nenda tigo, ukienda tigo wanasema rudi nmb huku pesa haijaingia.
mbaya zaidi kwenye bank statement ya NMB inaonesha kuwa transaction ilikamilika kwenda hiyo namba sasa. yaani hii nchi kila mtu ni jangili kwa nafasi yake