Ndumbayeye
JF-Expert Member
- Jan 31, 2009
- 7,413
- 4,020
Mwezi huu wamekithiri. unahamisha hela kwa mobile inapotea hewani, unajazishwa fomu pale kaunta unaambiwa baada ya masaa 2 utarudishiwa. unakaa siku 8 . baada ya masaa 2 kila saa kila muda unauliza salio na wanakukata. tangazeni kusitisha basi huduma yenu ya mobile