Mtetezi.com
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 3,134
- 3,584
Miezi kadhaa iliyopita wateja wa benki yetu pendwa NMB tulipewa taarifa kuwa kwa sasa hakutokuwa na monthly charges kwa saving accounts but nashangaa mpaka leo mimi nakatwa tena mbaya zaidi ndani ya miezi mitano imekatwa zaidi ya laki moja ya kitanzania.
Ukifatilia kuwa imekuwaje ni kupigana sound tu oooh nenda tawi lako mara nenda na bank statments!
Yani muniibie bado mnisumbue?
Acheni ubabaishaji wekeni mambo hadharani NMB mnakera.
Ukifatilia kuwa imekuwaje ni kupigana sound tu oooh nenda tawi lako mara nenda na bank statments!
Yani muniibie bado mnisumbue?
Acheni ubabaishaji wekeni mambo hadharani NMB mnakera.