NMB ACHENI WIZI

NMB ACHENI WIZI

Mtetezi.com

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2016
Posts
3,134
Reaction score
3,584
Miezi kadhaa iliyopita wateja wa benki yetu pendwa NMB tulipewa taarifa kuwa kwa sasa hakutokuwa na monthly charges kwa saving accounts but nashangaa mpaka leo mimi nakatwa tena mbaya zaidi ndani ya miezi mitano imekatwa zaidi ya laki moja ya kitanzania.

Ukifatilia kuwa imekuwaje ni kupigana sound tu oooh nenda tawi lako mara nenda na bank statments!
Yani muniibie bado mnisumbue?
Acheni ubabaishaji wekeni mambo hadharani NMB mnakera.
 
Poleni Mods kwa kupewa kazi ya kubadili kichwa cha habari kutoka herufi kubwa kuwa ndogo.
 
Yani NMB nowadays wamekuwa kama vibaka hivi last week nilikuta wamekata kama 20k hivi nauliza kulikoni wananiambia kutolea pesa ndani ni 6000 nikaona isiwe kesi nikatoa pesa zote.
 
Mkuu ,hawa jamaa ni wezi kitambo aargh najutia sjui kwanini nimeifanya NMB kua ndo bank yangu ya mshahara
 
Ukapeleka wp
Yani NMB nowadays wamekuwa kama vibaka hivi last week nilikuta wamekata kama 20k hivi nauliza kulikoni wananiambia kutolea pesa ndani ni 6000 nikaona isiwe kesi nikatoa pesa zote.
 
Back
Top Bottom