Mtetezi.com
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 3,134
- 3,584
Yani NMB nowadays wamekuwa kama vibaka hivi last week nilikuta wamekata kama 20k hivi nauliza kulikoni wananiambia kutolea pesa ndani ni 6000 nikaona isiwe kesi nikatoa pesa zote.
Nimeiamishia benki ambayo naona inanifaa zaidi.Ukapeleka wp