NMB - Arusha Business Center huduma mbovu

NMB - Arusha Business Center huduma mbovu

Ngongo

Platinum Member
Joined
Sep 20, 2008
Posts
20,654
Reaction score
35,887
Heshima sana wana jamvi,

NMB ABC branch ni kwajili ya wafanyabiashara.Huduma zake unaweza kuziweka daraja moja na CRDB Premier mahususi kwa wafanyabiashara wa kati na wakubwa.

Huduma za CRDB Premier zipo vizuri ukienda pale kama mtu wa level iliyokusudiwa wanakuelekeza tawi lingine.

Huduma ya NMB Business Center hata wamachinga wanapigana vikumbo na wafanyabiashara wakubwa au wakati.Foleni zimekuwa kero kubwa sana kwasababu ya wingi wa wateja wasiokuwa na sifa na vigezo vya kuhudumiwa katika tawi hili.

Ngongo kwasasa Arusha.
 
Back
Top Bottom