mashi ga ngoko
Member
- Jul 15, 2018
- 96
- 50
Nimewafuata wanadai mara huko makao makuu hawajaiona,mara mashine ziliisha,mara wako bize wateja wengi wahudumu wachache sasa majibu yote yanawezekana lkn ndio wiki mbili?Mkuu si uwafuate ofisini wakupe majibu??
Kawasemee kwa ngosha Mwenzio.Wanajamvi niliomba uwakala wa NMB Wakanipa masharti ya nikatimiza yote wakaniambia niko tayari nimeruhusiwa niliweka kias cha mil 2 laki 2 ili wanipe mashine nina wik ya pili sasa sijapata mashine kama kuna mwenye uelewa au mtu ambaye alishawahi kujiunga NMB anipe uzoefu alipewa mashine baada ya mda gani?Manake mie naona J3 nikatoe pesa yangu.
Sina mambo ya ukabila mimi wala sio msukumaKawasemee kwa ngosha Mwenzio.
Hilo jina acha tu iwe siri yangu
Mfuate meneja wa tawi husika..Wanajamvi niliomba uwakala wa NMB Wakanipa masharti ya nikatimiza yote wakaniambia niko tayari nimeruhusiwa niliweka kias cha mil 2 laki 2 ili wanipe mashine nina wik ya pili sasa sijapata mashine kama kuna mwenye uelewa au mtu ambaye alishawahi kujiunga NMB anipe uzoefu alipewa mashine baada ya mda gani?Manake mie naona J3 nikatoe pesa yangu.
Pole sana ndugu Mashi,Wanajamvi niliomba uwakala wa NMB Wakanipa masharti ya nikatimiza yote wakaniambia niko tayari nimeruhusiwa niliweka kias cha mil 2 laki 2 ili wanipe mashine nina wik ya pili sasa sijapata mashine kama kuna mwenye uelewa au mtu ambaye alishawahi kujiunga NMB anipe uzoefu alipewa mashine baada ya mda gani?Manake mie naona J3 nikatoe pesa yangu.
weka namba yako au nitumie namba ya simu inbox ili nijue details gani unahitaji.Pole sana ndugu Mashi,
Tafadhali tunaomba taarifa zako PM kwa ufuatiliaji zaidi na kukupatia mrejesho.
Asante
Kimsingi NMB hawana mashine kwa kipindi kirefu sasa....mi nilishachukua hela yanguWanajamvi niliomba uwakala wa NMB Wakanipa masharti ya nikatimiza yote wakaniambia niko tayari nimeruhusiwa niliweka kias cha mil 2 laki 2 ili wanipe mashine nina wik ya pili sasa sijapata mashine kama kuna mwenye uelewa au mtu ambaye alishawahi kujiunga NMB anipe uzoefu alipewa mashine baada ya mda gani?Manake mie naona J3 nikatoe pesa yangu.