mashi ga ngoko
Member
- Jul 15, 2018
- 96
- 50
Wanajamvi niliomba uwakala wa NMB Wakanipa masharti ya nikatimiza yote wakaniambia niko tayari nimeruhusiwa niliweka kias cha mil 2 laki 2 ili wanipe mashine.
Nina wikp ya pili sasa sijapata mashine kama kuna mwenye uelewa au mtu ambaye alishawahi kujiunga NMB anipe uzoefu alipewa mashine baada ya mda gani?Manake mie naona J3 nikatoe pesa yangu.