NMB Chalinze branch kuna usumbufu usio na sababu idara ya mikopo

NMB Chalinze branch kuna usumbufu usio na sababu idara ya mikopo

gimmy's

JF-Expert Member
Joined
Sep 22, 2011
Posts
3,312
Reaction score
3,345
Wapendwa Salaam,
NMB Chalinze branch kumejawa na wafanyakazi wenye kiburi na majivuno hasa kwenye idara ya mikopo jambo ambalo linasababisha kero kubwa kwa wateja,

Hii branch unapoanza ku process mkopo utacheleweshwa kiasi ambacho utaona kabisa ni kama wanakuomba rushwa kiaina.Hizo nenda rudi utakoma.Mtu amekupa namba za simu smtz ukipiga hapokei tabu tupu.

Hivi inawezekanaje issue yakufungua tu account ikakupotezea zaidi ya wiki?Kuna kajamaa kamoja keupe kafupi pale ni tatizo kana majibu ya hovyohovyo wahusika fuatilieni.Lakini kingine kunaonekana kuna ujamaa wa karibu kati ya meneja na wafanyakazi wake kwenye idara ya mikopo ndio sababu kunakuwa na uzembe.

Nawashauri CRDB wachangamkie fursa wafungue branch haraka ili kuwatibu hawa wababaishaji.Chalinze kwa sasa ni sehemu very potential tafadhalini CRDB changamkeni tumechoka na hawa wababaishaji.

Najua mtakuja kujenga hoja hapa ,tafadhalini tumeni timu pale fuatilieni wenyewe,zungukeni kwa wateja mtapata majibu.

CC:NMB tanzania.

Asante.
 
Hizi local banks zingekuwa chini ya umiliki wa foreigners (hasa wahindi) kwa 100%, wangekuwa na ufanisi mara 5 ya walivyo sasa.

Mpaka leo wanaona banking facilities ni kama wanawapa fadhila wateja wao.
 
NMB TANZANIA Last Activitity[emoji26][emoji26]

Ndio urasimu wa watoa huduma wa kitanzania. Kama vipi sogea mlandizi hapo
Screenshot_20230204-071941.jpg
 
Hao CRDB watakuambia mkopo upite kwao nao utaanza kuwaponda.
Natamani CRDB wafungue branch ili kuleta ushindani kwa hawa wababaishaji,nikija mlandizi kapu ndio lile lile nitakuwa sijawatia adabu
 
Back
Top Bottom