NMB chini ya Wazungu ilitoa gawio la TZS 16.5BL leo chini ya mzawa ni TZS 57.4BL. Kama kiasi cha hisa ni kilekile Cha 32% tunajifunza nini?

NMB chini ya Wazungu ilitoa gawio la TZS 16.5BL leo chini ya mzawa ni TZS 57.4BL. Kama kiasi cha hisa ni kilekile Cha 32% tunajifunza nini?

Margin ni kubwa sana karibu Bil 40 huoni kama Kuna kitu cha kujifunza hapa?
I never trust my own kind. Unakumbuka hapo nyuma mpaka ATC na TTCL zilitoa gawio kwa JMT in billions?

Leo tunaambiwa same institutions are dying for making perennial losses….

Haya tuyaache. Kama ni kweli, ni Heri kwani ni taifa letu.
 
View attachment 3023911
NMB CHINI YA WAZUNGU

View attachment 3023912

NMB CHINI YA WAZAWA.

View attachment 3023913
NMB imekabidhi gawio la Tsh. Bilioni 57.4 kwa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambayo ni kiashiria cha azma yao ya kuhakikisha wanaleta tija na faida kubwa kwa wawekezaji wao wote, ikiwemo Serikali yenye umiliki wa 31.8% katika Benki yetu.

Kwa mwaka huu, hili ni Gawio kubwa zaidi kutolewa kwa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kutoka taasisi za kibiashara ambazo Serikali ina umiliki wa hisa chache.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amepokea mfano wa hundi kutoka kwa Mwenyekiti wetu wa Bodi ya Wakurugenzi - Dkt. Edwin Mhede pamoja na Afisa Mtendaji Mkuu wetu – Bi. Ruth Zaipuna katika hafla iliyofanyika Ikulu jijini Dar es Salaam leo.

Afisa Mtendaji Mkuu wa NMB, Bi. Ruth Zaipuna alisema: “Kutokana na mazingira wezeshi na uimara wa sekta ya kibenki, NMB ni miongoni mwa mabenki yaliyokua sana. Gawio la jumla limeongezeka kutoka Tsh bilioni 97 mwaka 2021, hadi kufikia bilioni 181 mwaka 2023. Gawio kwa Serikali limeongezeka kutoka Tsh 30.8bn mwaka 2021 hadi kufikia Tsh 57.4bn mwaka 2023.”

Akizungumza katika hafla hiyo, Rais Samia ameipongeza Benki ya NMB kwa matokeo mazuri ya kiutendaji yaliyopelekea kuongezeka kwa faida kwa taasisi na gawio kwa Serikali.
NMB nampenda sana kwa mikakati yake thabiti ya kukuza Benki,
 
Tumeibiwa sana, na bado wanaendelea kutunyonya.

Heko kwa wote waliowarudisha wazawa.

Magulification must go on.

"Matatizo ya Mwafrika yayatatuliwa na mwafrika"~jina kapuni
 
Hilo gawio linakwenda kufanya kazi gani? Kununulia mavieite na kufakamiwa na walaji kulingana na urefu wa kamba zao?

Kama limekwenda kuimarisha maisha ya wananchi hongereni sana. Vinginevyo ni kiinimacho tu kama tulivyozoea halafu tunakwenda kukopa hela za kuendeshea serikali yetu!

Tungekomesha ufisadi mbona tungeweza kujiendesha tu bila wasiwasi?
 
Tumeibiwa sana, na bado wanaendelea kutunyonya.

Heko kwa wote waliowarudisha wazawa.

Magulification must go on.

"Matatizo ya Mwafrika yayatatuliwa na mwafrika"~jina kapuni
Ila waswahili tunatia huruma. Kwani waliopo madarakani wanatokea Macedonia au Ukraine? Si ni wamatumbi kama sisi? Wanaoiba hizi billions siyo wazawa?
naamini hii nchi angepewa Mzungu au mtu wa Ukraine angeiongoza kwa tija kuliko hawa washenzi wanaiba mpaka wanavimbiwa..huku wakiimba ngonjera za uzalendo Uchwara.
As long as they can offer crumbs na masalia ya ukoko kwa akina Lucas Mwashambwa na Tlaatlaah washinde mitandaoni wakiwatetea…….they are safe….until when they’re not.
Kila lenye mwanzo Lina mwisho.
 
gentleman come on!!!
why umejaa fikra za kutawaliwa tu akilini mwako? unapenda sana utumwa sio 🐒

Lakini pia kuna haja gani kuja kwenye platform ya heshima kama hii tena kwa mihemko na ghadhabu ambazo hazina maana, just unakuja kujitambulisha tu kwamba you are mentally unfit?

maana hakuna hoja au kitu cha maana umeeleza, bilashaka ukimaanisha umefikia ukomo wa mawazo mapya na fikra mbadala dhidi ya hoja ya msingi mezani 🐒

unatia huruma sana,
but ni mTanzania mwenzetu, hatuwezi kukutupa, tutakwenda nawe pole pole na utaondoka kwenye hali hiyo tu taratibu 🐒
 
Ngoja mama anipe uwaziri utanitetea hutaki unataka…😅😅😅😅😅😅
 
Ila waswahili tunatia huruma. Kwani waliopo madarakani wanatokea Macedonia au Ukraine?
😭
Mada mbona ipo wazi kabisa Masanja ?? Yaani inasema NMB chini ya Wazungu gawio lilikuwa ni dogo sana.

Wewe na "Uswahili"😂😂 wako unaleta za 'Waliopo madarakani"
Waliopo madarakani NMB?

Sijakuelewa...

Ila, kama unasema waliopo madarakani NMB, ambao ni wazawa na ndio walio toa kitita kikubwa kuliko wazungu kuwa ni "Wamatumbi" hujawatendea haki. Hebu toa kongole.
Si ni wamatumbi kama sisi?
Wewe na nani? Mimi sio Mmatumbi🙌🏾 Mmatumbi mwenyewe!😌
Wanaoiba hizi billions siyo wazawa?
Rejea mada. Wazungu wametoa kiduchu, wazawa wametoa kitita, Nani aliyoiba? Ni simple arithmetic tu. Wacha hizo
naamini hii nchi angepewa Mzungu au mtu wa Ukraine angeiongoza kwa tija kuliko hawa washenzi wanaiba mpaka wamevimbiwa..
Una hasira sana Aisee. Unawaita "Wamatumbi" 'Washenzi" "Wazalendo Uchwara" kisa wametoa gawio kubwa kuliko> 😂😂😂😂😂🔥
huku wakiimba ngonjera za uzalendo Uchwara.
As long as they can offer crumbs na masalia ya ukoko kwa akina Lucas Mwashambwa na Tlaatlaah washinde mitandaoni wakiwatetea…….they are safe….until when they’re not.
Kila lenye mwanzo Lina mwisho.
Sawa basi kila lenye mwanzo lina mwisho. Ndio nimesema, wametuibia na kutunyonya weee-Mwisho wake ukafika na wazawa wakatwaa, na sasa tumeona faida yake-hilo halipingiki mkuu.

Mmatumbi😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom