NMB & CRDB haya mambo mtaweza??

NMB & CRDB haya mambo mtaweza??

Technophilic Pool

JF-Expert Member
Joined
Jan 18, 2024
Posts
2,597
Reaction score
3,965
Hapa nimenunua tu muda wa maongezi wananitumia had email

EQUIT wako vizuri aisee…..Hizi benki zetu zinazidiwa na kabank ka kenya…nchi nusu jangwa kama sahala inawazidi TANZIA
 

Attachments

  • E1BE17AC-A2FB-47C9-8F3C-219146A0612D.jpeg
    E1BE17AC-A2FB-47C9-8F3C-219146A0612D.jpeg
    1.1 MB · Views: 3
Hakuna lisilowezekana wakati ukifika Crdb na nmb wanaweza hata kukupigia ukinunua salio
 
Kwanza hata hizo hela za kiweka bank sina mie..🤨
Kila ninacho kipata lazima kinaenda kufanya kazi flani mazee...
 
Back
Top Bottom