Mimi ni mteja wa NMB na pia natumia sana NMB mobile katika kuhamisha pesa kwenda sehemumbalimbali.
Huduma ya NMB mobile imetusaidia sana hasa tulio na watoto wanaosoma boarding.
Nimeshangazwa na mambo mawili makubwa kuhusu NMB database,
Huduma ya NMB mobile imetusaidia sana hasa tulio na watoto wanaosoma boarding.
Nimeshangazwa na mambo mawili makubwa kuhusu NMB database,
- Database inakubali hata ukiingiza digit zaidi.Ina maana ya kuwa unaweza kuamini umehamisha pesa kumbe hazikwenda (ikumbukwe ya kuwa msg ya ku confirm transfer wakati mwingine inachelewa sana.)
- database inakubali kutoa taarifa ya kuwa pesa imehamishwa wakati kitendo hicho hakikufanyika.Wiki iliopita nilipata ya msg ya kufanikiwa kuhamisha pesa na nikamtumia mwanangu ambaye mpaka saa saba mchana next day pesa ilikuwa haijaingia.Tulipofuatila tukaambiwa it was unsuccesful transfer.Mtu niliyemuuliza hapo NMB house alijibu kuwa haya ni mambo ya mtandao anything can happen.Kila nilipojitahidi kuonyesha concern kuwa inakuwaje database ikibali kuwa pesaimehamishwa lakini sivyo,alikuwa hana majibu ya kutosha.